Alichovuliwa Isaya Mwita ni Umeya sio Udiwani. Kwanini anazuiwa kushiriki vikao kama Diwani?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Pamoja na kutojua sana Sheria za Serikali za Mitaa bado naamini Alichovuliwa Isaya Mwita ni Umeya wa Jiji lakini sio Udiwani.

Na kama ndio hivyo Isaya Mwita ana haki ya kushiriki Vikao vya Baraza la Jiji kama Madiwani wengine akiwawakilisha Wapiga kura wa Vijibweni.

Swali langu kwanini anazuiliwa kuhudhuria vikao ambavyo yeye ni Mjumbe ?

Kwanini Waziri mwenye dhamana halitolei Ufafanuzi suala hili ili wananchi hasa wa Vijibweni wakajua hatima ya Diwani wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amezuiwa kuongoza vikao siyo kushiriki bwashee!
 
Upoyoyo wa CCM Dar chini RC kilaza na mkurugenzi wake kwa kuwa mchakato wa kumtoa Mwita haukjkamilika ndio maana bado Meya Mwita ni Meya wa Jiji labda mpka kura zipigwe upya na ccm wamalizie walipoishia.Mambo hayanya sasa ni undezi tu unaowasumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikao kilichokuwa kifanyike yeye sio mjumbe na wala hakuwa na barua ya mwaliko alichofanya ni uchokozi!
 
Pamoja na kutojua sana Sheria za Serikali za Mitaa bado naamini Alichovuliwa Isaya Mwita ni Umeya wa Jiji lakini sio Udiwani.

Na kama ndio hivyo Isaya Mwita ana haki ya kushiriki Vikao vya Baraza la Jiji kama Madiwani wengine akiwawakilisha Wapiga kura wa Vijibweni.

Swali langu kwanini anazuiliwa kuhudhuria vikao ambavyo yeye ni Mjumbe ?

Kwanini Waziri mwenye dhamana halitolei Ufafanuzi suala hili ili wananchi hasa wa Vijibweni wakajua hatima ya Diwani wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Umeya hajavuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile li mama likurugenzi Lina sura Kama Nguruwe....na kile kichawi chake Cha kibondemaji.
 
Awamu hii hapa ndipo inapofeli
Sio kufeli tuu imejaa wajinga na wapuuzi.
Leo ghafla tusikie tamko la Magu kuwa 'mwacheni Mwita afanye kazi!"
utashangaa hao ndezi kuanzia Jafo hadi Barbarosa wa JF watakavyo sifia kuwa madiwani walikuwa wanafanya ujinga na mkurugenzi hafai kabisa anazuia maendeleo.
Na kwamba ccm inapenda sana ushirikiano kazini kwani maendeleo hayana chama.
CCM imekuwa kama gagulo la mwendawazimu, halifuliwi hadi anyeshewe mvua!

Kweli kaka kuwa CCM ni lazima uwe na kipaji...yaani upepo itakapovumia ndipo utakapolala...mimi siwezi kuishi kwenye chama kitakachozika fikra zangu waziwazi kisa njaa..!!
 
Back
Top Bottom