Alichosema OBAMA kwa vijana wa africa


Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
11,293
Likes
3,862
Points
280
Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
11,293 3,862 280
JE VIJANA NDIO WAKOMBOZI WA KESHO? JE WANAWEZA KUFUATA MFANO MZURI WA MANDELA NA KUWA WAKOMBOZI WA SIKU ZA USONI?''Hatutawahi kuwa na kiongozi kama Mandela duniani tena. Lakini nataka kuwashauri vijana kote Afrika na duniani kote kuhakikisha kuwa wanafuata nyayo za Mandela.''
 
lyinga

lyinga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Messages
2,500
Likes
72
Points
0
lyinga

lyinga

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2013
2,500 72 0
Labda wakina buku saba na simiyu yetu wanaweza kuwa vijana wa mfano
 
J

jnuswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
1,270
Likes
6
Points
135
J

jnuswe

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
1,270 6 135
Hivi Obama hapa alikuwa anamanisha na wale vijana wa LUmumba ? hao ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
 
M

my web

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Messages
1,594
Likes
2
Points
0
Age
33
M

my web

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2012
1,594 2 0
hizo nyayo zipo wapi nizifuate?
 

Forum statistics

Threads 1,274,224
Members 490,637
Posts 30,505,510