Alichosema j.k.nyerere kuhusu maadili ya taifa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alichosema j.k.nyerere kuhusu maadili ya taifa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chizi Fureshi, Feb 1, 2011.

 1. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Wana JF, kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na mjadala mrefu kuhusu ulazima wa kuwepo kwa katiba mpya na hivi karibuni moja kati ya wakongwe katika tasnia ya mambo ya siasa aligusia umuhimu wa kuwepo kwa maadili ya Taifa na kwa kufanya hivyo alimnukuu kwa ufupi yale yaliyosemwa na mwasisi wa taifa hili hayati J.K.Nyerere tarehe 28.06.1962. Leo hii nawaletea kwa urefu maneno husika.

  IMPORTANCE OF A NATIONAL ETHIC

  "The point must be made that ultimately the safeguard of a people's right, the people's freedom and those things which they value, ultimately the safeguard is the ethic of the nation.
  When the nation does not have the ethic which will enable the Government to say: 'We cannot do this, that is un-Tanganyikan". Or the people to say: 'That we cannot torelate, that is un-Tanganyikan.' If the people do not have that kind of ethic, it does not matter what kind of constitution you frame. They can always be victims of tyranny....What we must continue to do all the time, is to build an ethic of this nation, all the time to build an ethic of this nation, which makes the Head of State whoever he is to say,'I have the power to do this under the Constitution, but I cannot do it, it is un-Tanganyikan.'Or for the people of Tanganyika,if they have made a mistake and elected an insane individual as their Head of State, who has the power under the Constitution to do XYZ if he tried to do it, the people of Tanganyika would say, 'We won't have it from anybody, President or President squared, we won't have it.'
  I believe, sir that is the way we ought to look at this constitution. We have got to have little amount of faith, although I know that some Members have been questioning the idea of faith. But, sir, democracy is the declaration of human faith in human nature, the very thing we are struggling to safeguard here, the very idea of democracy is a declaration of faith in mankind. And every enemy of democracy is some person who somewhere has no faith in human beings. He doubts. He thinks he is right, but other human beings are not all right."
  ___________________________________________
  Nimemaliza kuwaletea. My Take:- Mwalimu kama binadamu aliyajua madhaifu ya binadamu yalivyo na hivyo kwa angalizo hilo alilenga viongozi wetu wawe na tabia hizi.
  • Wanaohuzunishwa na mateso ya watu wao na kuwa tayari kuwaondolea mateso hayo.
  • Wanaoona kuwa utumishi wao kwa umma si mali kitu(Cheo ni dhamana) ili wawe tayari kuwatumikia watu wao hadi upeo.
  • Wenye huruma na hasa katika kutetea raslimali za Taifa.
  • Waliotayari kulinda na kuitetea amani ya nchi kwa mapana yake.
  • Wasioona hatari kuteseka ili mradi tu wananchi wao wapate, malazi bora, afya bora na elimu bora.
  • Wapole.
  • Na mengineyo mengi yenye kufanana na hayo kwa maendeleo na ustawi wa TAIFA.
  Kinyume na hayo ni yale tunayoyashuhudia katika maeneo mbalimbali duniani.
  NAWASILISHA.:thinking:
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,913
  Trophy Points: 280
  My friend, I have tried to read many articles regarding Nyerere, he was special and and visionary. However, he failed to know that not everyone is like him!, he thought that everyone is thinking and behaving like him. Go west go east usafi wa kiongozi husika una-matter sana, . He will remain special, he will remain great but believe me...no one today who is taking Nyerere's words seriously, those who get excited by his words are the ones who can not do anything!

  Yes let use those words but they will do nothing, EXTERNAL FORCE IS NEEDED to put everyone in line! that external force is far important than those words!!! you know why?? Nyerere amekufa na sisi tunaishi, ni wakati mzuri wa kusoma alama za Nyakati kuwa hakuna mtu anayeishi kwa maneno ya Nyerere, maneno ya Nyerere yanafaa tu kama tutakuwa na taifa jipya, viongozi wapya, mawazo mapya, na ustawi mpya, then Nyerere can rise again! sasa hivi hakuna utaifa hakuna Tanzania...tupo tupo tu, tangu Mwinyi alivyoichukua nchi hii ombwe la Nyerere halijazibwa na kuja kuzibika another mirarcle...
   
 3. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Waberoya umenena na ninakushukuru. Naomba nirejee maneno ya Jasiri huyu, Mwl.J.K.Nyerere wakati ameamua kuwatimua wakoloni. "Hawa wakoloni wasippotoa uhuru tutawashtaki katika umoja wa mataifa, umoja wa mataifa usipotusikiliza tutawashtaki kwa Mungu na Mungu asipotusikiliza tutawashtaki kwa shetani. My take:- Hapo kwa shetani alimaanisha nini?
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nyerere akifufuka leo viongozi wetu wote wanakula bakora. Tena ataanza na wakuu wa kaya....
  Hata sisi raia hatatuacha maana tumekuwa wapumbavu wa kufikiri....kiasi kwamba hata tukiambiwa mavi ni ugali tunakubali.......VIBOKO kumi na MBili .....mbili
   
 5. Jumboplate

  Jumboplate Senior Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Aisee ivi why don't we have another Nyerere for a change???we've had bogus leaders for too long now...ukiona wananchi hawana imani na kiongozi "waliyemchagua" ujue nchi imefika pahala pabaya sana!!!God bless us
   
 6. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Watu wema wakienda hawarudi....bali wema wao utakumbukwa milele...Tanzania tulipata viongozi,wamepita...tulistahili kufika mbali ya tulipo kwa kua tulikua na mifano ya kuiga....Vyovyote iwavyo watawala wetu wenye roho za ulafi na hila, na wasiotosheka siku moja watajutia matendo yao!
   
Loading...