#COVID19 Alichosema Hayati Magufuli kuhusu UVIKO-19 yametimia, sasa tutaishi nao katika jamii

Yeye alikuwa akiamini hivyo kwani nilimsikia mara kadhaa akiwa anapiga zile ngonjera zake za vita vya kiuchumi alikuwa akidai huo ugonjwa upo mijini tu.
Kwahiyo alikuwa anakubali corona ipo Tanzania ila ipo mijini tu na sio huko vijijini?
 
Mimi mwananchi tu wa kawaida sijawahi hata kuingia ikulu, vp wewe mkuu ulikuwa daktari wa Magufuli nini?
Sasa mambo ya chumbani kwao umeyajuaje? Kwani ugonjwa wa moyo siku hizi unaambukiza? kama vichwa vyenu vizito sana, tumieni hata common sense na rafiki zako
 
Sasa mambo ya chumbani kwao umeyajuaje? Kwani ugonjwa wa moyo siku hizi unaambukiza? kama vichwa vyenu vizito sana, tumieni hata common sense na rafiki zako
Sasa kama wewe umeona wasaidizi wake wamekufa na corona hivyo na Magufuli nae atakuwa kafa kwa corona je vp mkewe? au tuseme kwamba alikuwa karibu zaidi na wasaidizi kuliko mkewe?

Au wewe ulikuwa kimada wake? hebu funguka inaonekana unajua mengi, sie wengine ni watu wa kawaida tu.
 
Alichosema hayati JPM sasa kimeenda kutimia maana sasa UVIKO-19 unakuwa ugonjwa tutaoishi nao katika jamii.

Hayati alisema mapema kama jamii tujiandae kuishi na hili gonjwa. Tujiandae

Sasa tunashudia hali ilivyo katika jamii yetu. Watu wanaugua, wengine wanapona na wengine Mungu anawachukua.

Jambo la msingi ni kuchukua tahadhali na kuzingatia kanuni za afya. Maana hili gonjwa lipo kwenye jamii na tunaishi nalo
Hata alivyosema "mtanikumbuka kwa mazuri" naona yametimia pia
 
Your level of thinking is lying to u, wake u, grow some balls, mjifunze kutumia akili kufikiria, sio mahaba wajinga nyie.

tumia akili kwenye mambo yote sio chooni pekee,wacha kujificha kwenye kiingereza.
 
Alisema hivyo baada ya kukataa uwepo wa Corona, mpaka alipoona hali inazidi kuwa mbaya ndio akakubali ipo bahati mbaya ikawa too late kwake.
hakusema hivyo kwa sababu aliamini korona haipo bali alisema siweki lockdown hatujui ugonjwa utaisha lini,hivyo basi tujifunze kuishi nao ili maisha mengine yaendelee,virusi vinatabia ya kujigeuza akatoa mfano pia kwamba mbona magonjwa mengine yapo na tunaishi nayo hatujajifungia ndani?
 
Sasa ukileta hoja kama hiyo na mie nitasema mbona yule mkewe aliyekuwa analala nae kitanda kimoja hatukumuona kuumwa achilia mbali kufa nae?
Nani kakwambia walikuwa wanalala wote, yaani mtu akamzalishe mdogo mtu na bado waendelee kulala pamoja!
 
hakusema hivyo kwa sababu aliamini korona haipo bali alisema siweki lockdown hatujui ugonjwa utaisha lini,hivyo basi tujifunze kuishi nao ili maisha mengine yaendelee,virusi vinatabia ya kujigeuza akatoa mfano pia kwamba mbona magonjwa mengine yapo na tunaishi nayo hatujajifungia ndani?
Hakuwa na busara ndiyo maana ulimfyekela mbali, nb siungi hoja ya lockdown
 
Back
Top Bottom