#COVID19 Alichosema Hayati Magufuli kuhusu UVIKO-19 yametimia, sasa tutaishi nao katika jamii

Alichosema hayati JPM sasa kimeenda kutimia maana sasa UVIKO-19 unakuwa ugonjwa tutaoishi nao katika jamii.

Hayati alisema mapema kama jamii tujiandae kuishi na hili gonjwa. Tujiandae

Sasa tunashudia hali ilivyo katika jamii yetu. Watu wanaugua, wengine wanapona na wengine Mungu anawachukua.

Jambo la msingi ni kuchukua tahadhari na kuzingatia kanuni za afya. Maana hili gonjwa lipo kwenye jamii na tunaishi nalo
Ata ukimwi tunaishi nao kwa kutumia ARV sio kwa maombi ya kitaifa
 
hakusema hivyo kwa sababu aliamini korona haipo bali alisema siweki lockdown hatujui ugonjwa utaisha lini,hivyo basi tujifunze kuishi nao ili maisha mengine yaendelee,virusi vinatabia ya kujigeuza akatoa mfano pia kwamba mbona magonjwa mengine yapo na tunaishi nayo hatujajifungia ndani?
Ndugu unabishana bure na nyumbu hawa nahisi wazazi wao walitumbuliwa ile awamu ndo maana wananyongo balaa lazima kila kitu wakione kibaya tu.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom