Alichosema Donald Trump kufuatia shambulio la kigaidi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais Mteule wa Marekani Bwana Donald Trump ametoa ya moyoni baada ya shambulio la kigaidi lililofanywa na kijana Mkimbizi kutoka Somalia.

IMG_20161130_203329.png

Mapambazuko yamekaribia. Naona simba kageuza ubavu indication anakaribia kuamka. Kazi ipo.
 
Trump is right, nadhani ukimpa mgeni haki zote huwa anajisahau na kuanza kuingia chumbani kwako na kufanya fujo. Napenda namna Tanzania inavyo treat wageni.
 
Trump is right, nadhani ukimpa mgeni haki zote huwa anajisahau na kuanza kuingia chumbani kwako na kufanya fujo. Napenda namna Tanzania inavyo treat wageni.
ila kumbuka cku moja na ww utakuwa mgeni na ungepnda kujtawala
 
Trump anafanya kosa la ku under estimate nguvu za Adui .

Waarabu wameanza kwenda kuua Wazungu Marekani baada ya Vita vya Ghuba na si kabla ya hapo japo Waarabu na Wazungu walikuwepo kabla ya Gulf war 1991
 
ila kumbuka cku moja na ww utakuwa mgeni na ungepnda kujtawala
Najua hilo na kama ni kuhama lazma nihamie kwenye nchi ambayo tunashare tamaduni au ambazo naweza kuzifuata na kuvumilia baadhi ya taratibu, mila na desturi zao. FYI ni bora nikaishi Msumbiji kuliko kuishi Sudani, Misri au Saudia amabako mimi sifanani nao na wala tamaduni zetu haziendani.
 
Back
Top Bottom