hahahhaahaha atoe msaada kwenye tuta tehe tehesasa cc wasioelew kzungu wap na wap,jarbu kutafsir alchoandka
ila kumbuka cku moja na ww utakuwa mgeni na ungepnda kujtawalaTrump is right, nadhani ukimpa mgeni haki zote huwa anajisahau na kuanza kuingia chumbani kwako na kufanya fujo. Napenda namna Tanzania inavyo treat wageni.
Najua hilo na kama ni kuhama lazma nihamie kwenye nchi ambayo tunashare tamaduni au ambazo naweza kuzifuata na kuvumilia baadhi ya taratibu, mila na desturi zao. FYI ni bora nikaishi Msumbiji kuliko kuishi Sudani, Misri au Saudia amabako mimi sifanani nao na wala tamaduni zetu haziendani.ila kumbuka cku moja na ww utakuwa mgeni na ungepnda kujtawala