Alichosema afisa masoko wa KIU kuhusu kuzuiwa kufanya udahili 2017/18

Bizz_sam

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
291
131
Ni baada ya chuo cha Kampala International University (KIU) kuwepo kwenye orodha ya vyuo ambavyo vimefungiwa kudahili mwaka huu iliyotoka tcu, Afisa masoko wa KIU katoa MREJESHO huu pale alipoulizwa huko kwenye maonesho ya vyuo vikuu.

Kwa maelezo aliyoyatoa huyo afisa masoko sidhani kama yaleta mantiki. Labda nyie wadau mnaonaje?
 
Attachments

  • VID-20170726-WA0012.mp4
    4.5 MB · Views: 35
utabaki jina jf lakini tabia yako ya ku pm,kulikes,ku comments haibadili mtuandikie barua kua mnataka kitufe cha dislike na id original...
 
Kama mpaka kcmc wamefungiwa wataponea wapi hawa waliotaka kubadidili chuo chenye hadhi ya kufundisha clinical officers wanataka kiwe na MD??

Tuacheni utani Kwenye Elimu. Elimu inapoharibiwa kwa kigezo cha kupata wasomi wengi tunaishia kuwa na wajanja wajanja tu mjini.

Watu hawana hata walimu, miundombinu Hakuna aafu wanataka kutajirika kwa Ada za watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni baada ya kiu kuwepo kwenye orodha ya vyuo ambavyo vimefungiwa kudahiri mwaka huu iliyotoka tcu, Afisa masoko wa KIU katoa MREJESHO huu pale alipoulizwa huko kwenye maonesho ya vyuo vikuu.

Kwa maelezo aliyoyatoa huyo afisa masoko sidhani kama yaleta mantiki. Labda nyie wadau mnaonaje?
Nimependa hapo huyo mzee wa TCU alivyotoa maelezo. Jina halibadili umbile.... safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mpaka kcmc wamefungiwa wataponea wapi hawa waliotaka kubadidili chuo chenye hadhi ya kufundisha clinical officers wanataka kiwe na MD??
Tuacheni utani Kwenye Elimu. Elimu inapoharibiwa kwa kigezo cha kupata wasomi wengi tunaishia kuwa na wajanja wajanja tu mjini.
Watu hawana hata walimu, miundombinu Hakuna aafu wanataka kutajirika kwa Ada za watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mkuu MD kiu imeanza Ina miaka sasa, nadhan Wana had MD5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeikubali sana serikali kwa kuwafungia wale wababaisgaji st.joseph. Elimu mbovu majigambo mengi

Sent from my Phillips Savvy using JamiiForums Mobile App.
 
Ni baada ya chuo cha Kampala International University (KIU) kuwepo kwenye orodha ya vyuo ambavyo vimefungiwa kudahili mwaka huu iliyotoka tcu, Afisa masoko wa KIU katoa MREJESHO huu pale alipoulizwa huko kwenye maonesho ya vyuo vikuu.

Kwa maelezo aliyoyatoa huyo afisa masoko sidhani kama yaleta mantiki. Labda nyie wadau mnaonaje?
Mi naomba kuuliza. Hivi hakuna tofauti kati ya "Joseph na Dr. Joseph".

You get what you work for not What you wish for
 
Kama jina haibadili umbile ila maana hakuna sifa walizoziangalia kukipandisha hadhi ? Kwanini mwanzo hawakukisajili kama chuo kamili? Kwanini kwasasa wamekisajili kama chuo kamili ,ni vitu gani waliaviconsider? Siasa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hay ndio maswali ya kujiuliza kwann wakipandishe hadhi kutoka university college mpaka full university ni sawa na kutoka stage one mpaka stage two halafu wakat kipo stage one hakijafungiwa saiv kipo stage two kinafungiwa.
..... Naipenda Tanzania yangu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom