Alichonong'ona Mkono kwa Kikwete (Picha)

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,463
39,929
mkono_phixr.jpg
 
Hapa ni hasi mara hasi ni chanya!!!,neno common katika kauli hizo mbili ni NOT,kwa kanuni za kihisabati inabidi liondolewe, ha ha ha!
 
Ha ha ha, NM anamnong'oneza JK kwamba zile bilioni 8 alizolipwa kwa kufanya kazi isiyojulikana na BoT yuko tayari kuzirudisha lakini anaomba asihojiwe zaidi ni kazi ipi aliyoifanya kustahili kulipwa mabilioni yote yale. Usanii kama kazi!
 
Askari wa King's African Rifle (KAR) huyo.

Kama Mkavirondo vile.
 
Hivi huyu Mkono anavaa hilo likofia la nini?

....naye anataka atengenezewe 'Askari Monument' yake. na hapo anamnong'oneza JK pahala watakapoweka 'Mkono Roundabout' ila yake hawataiwekea silaha mkononi, sanamu yake itawekwa katikati ya blocks mbili kuashiria bot twin towers! :D
 
Mimi nimeitafsiri hivi

mkono_phixr.jpg

Ni baada ya Nimrodi kumzidi JK katika kuchangia kwani yeye JK alichangia 15m wakati Nimrod alichangia 50m ikabidi aulizwe kazipata wapi zote hizo???
 
ana bahati mbaya sana Jk amejipeleka mwenyewe kwa spin doctor wa nyanda hizo. huyo jamaa na chenge hawana tofauti sana na naamini baada ya kutoka butiama, atakuwa ameshamchionga Jk na kumweka kwenye mstari ulionyooka (kama alikuwa hajafanya hivyo tangu mwanzoni)
 
Am sure JK alikuwa namuuliza imekuwaje wageni wa NEC mkoani hapo wakakosa mapoekezi makubwa toka kwa wakazi maana waliwazomea .
 
Mimi nimeitafsiri hivi

mkono_phixr.jpg

Ni baada ya Nimrodi kumzidi JK katika kuchangia kwani yeye JK alichangia 15m wakati Nimrod alichangia 50m ikabidi aulizwe kazipata wapi zote hizo???

mamboelimurockcrushers4we.jpg
Je, watoto hawa wanahitaji fedha kiasi gani ili waende shule??
Bila shaka haizidi 1m.
 
Na swali tukiweka mambo ya BOT pembeni (still awaiting the report..coz ya ernst n young hakutajwa!!) je mnajua mkono katengeza sh ngapi kutoka clients wake ambao sio serikali kuanzia 1977 hadi sasa??
 
""Mzee ninafaham alipo MKJJ na MWK sasa inakuaje??"" teh teh teh teh teh

teh teh teh kwi kwi kwi!

Mkono fisadi huyo, hana idea ya intelligence huyo zaidi ya wizi tu!

Inaonekana hapo anamshauri Kikwete naye aibe mapesa na kuyaweka kwenye benki mpya ya kifisadi watakayoiita benki K kama ile ya mkapa waliyoiita bank M
 
Anamkumbusha JK ukarimu wake wa kujenga shule za sekondari wilayani kwake.misaada anayotoa japo anapigwa vita na wahafidhina wapinga maendeleo wa JF
 
Anamkumbusha JK ukarimu wake wa kujenga shule za sekondari wilayani kwake.misaada anayotoa japo anapigwa vita na wahafidhina wapinga maendeleo wa JF

yeah right,

Anamkumbushia JK kuwa kati ya zile billion 8 alizoiba benki kuu, atatutimia kisehemu kidogo (kama milioni 100 hivi kujenga shule na kuchangia ccm mkoani Mara) na baada ya hapo JK awakanye wote wahafidhina wa JF watakaojaribu kukumbushia zile bilioni 8 za wizi toka benki kuu au zile zingine za benki M au zile zingine....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom