Alichonong'ona Mkono kwa Kikwete (Picha)

Je, watoto hawa wanahitaji fedha kiasi gani ili waende shule??
Bila shaka haizidi 1m.

MAKANGE kwa kweli hii post yako imenigusa sana na mi nakuunga mkono mia kwa mia hawa wanungwana wanakula raha while watoto wa mitaani wanaongezeka na wao wanapita kwenye misafara yenye lundo la magari na kula kiyoyozi kwa kwenda mbele.

Tanzania Tanzania wapi inaelekea???
Inauma lakini ndo hivyo tena sauti zetu na vilio vyetu vinaishia JF na huku nako wanatufuata tena tutakimbilia wapi kusema kile ambacho tunaona si sahihi??

Aaah inauma kwa kweli.
 
Naweza kusponsa hitu tujamaa twa jf tukanaswa kama panzi au unasemaje?
 
Anaulizia 'hivi lile suala ulilozungumzia la kutenganisha siasa na biashara, mimi kama wakili linanihusu?'
 
Back
Top Bottom