Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,680
- 40,622
Askari wa King's African Rifle (KAR) huyo.
Kama Mkavirondo vile.
Hivi huyu Mkono anavaa hilo likofia la nini?
Mimi nimeitafsiri hivi
View attachment 1368
Ni baada ya Nimrodi kumzidi JK katika kuchangia kwani yeye JK alichangia 15m wakati Nimrod alichangia 50m ikabidi aulizwe kazipata wapi zote hizo???
ana bahati mbaya sana Jk amejipeleka mwenyewe kwa spin doctor wa nyanda hizo. huyo jamaa na chenge hawana tofauti sana na naamini baada ya kutoka butiama, atakuwa ameshamchionga Jk na kumweka kwenye mstari ulionyooka (kama alikuwa hajafanya hivyo tangu mwanzoni)
Mimi nimeitafsiri hivi
Ni baada ya Nimrodi kumzidi JK katika kuchangia kwani yeye JK alichangia 15m wakati Nimrod alichangia 50m ikabidi aulizwe kazipata wapi zote hizo???
bubu hapa nimekukubali, kuwa sasa wakati umefika wa mabubu kusema
""Mzee ninafaham alipo MKJJ na MWK sasa inakuaje??"" teh teh teh teh teh
Anamkumbusha JK ukarimu wake wa kujenga shule za sekondari wilayani kwake.misaada anayotoa japo anapigwa vita na wahafidhina wapinga maendeleo wa JF