Alichonitendea mke wangu sitosahau

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,007
5,446
Asalaam,

Bila kupoteza mda, mimi na mke wangu tuna miaka kadhaa kwenye ndoa ila alhmdulillah ndoa imejaa mazuri meeeengi.

ila ya leo kiboko... Tulipishana mida ya kuingia kazni yy aliingia usiku mm mchana tukakutana usiku mwingi asubuhi niliwahi ibadani mapema saana kushughulikia mambo flani bahati mbaya hatukua tumeandaa nguo kanisani mapema, sasa ghafla namuona mke wangu na watoto wamependeza wakija maeneo ya church.

nikamuuliza vip kuhusu mimi je uliniandalia nguo akaniambia hapana, basi sikujali baadae nikaenda home kubadili nguo ili nivae nguo rasmi..... Kufika home Daah nakuta bonge la suprise chumbani yaani nimenunuliwa bonge la boxer kali alafu nikaandikiwa maaneno mataamu kwenye kikaratasi...😍💖💝💘 "Natama ningepost namna boxer ilivyo na maneno aliyo yaandika...... "

Jambo hili limeamsha hisia kali saana na usiku huu ni kutikisa nyavu tuuu magoli nampigisha ya kimataifa.
"Mapenz ubunifu, mapenzi matamu ndoa tamu" Samahani kwa usumbufu

Sorry kwakuwakwaza kwa starehe zangu

1626678681546.png
 
Back
Top Bottom