Alichokizungumza kwenye mapokezi ya ndege sicho walichotegemea kusikia

Don’t pretend that you know anything about me. I know what I am talking about and I always write the TRUTH about this MEDIOCRE GOVERNMENT.

I wish you could speak to those who know me very closely and share with you my characteristics as a person.

You will be a bitter person for the rest of your sadistic life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watch your step, tunakuangalia ujue kama humpendi wewe sisi tunampenda na ukichaa wake huohuo. Sabab ndo katutoa shimoni sasa tunaelekea mahali salama. Ningekuwa jiran na wewe ningekuchoma hata kisu kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umezungumzia hali yako halisi kuwa ama wewe ni fuko, ndezi, pimbi au panya na bandiko lako linasadifu uhalisia wako! Wawezaje kumlazimisha mwingine afuate unachoshabikia? Haiyumkini wewe ni musiba na au wasiojulikana ambao hulazimisha wengine wafuate wanachoamini wao kwa kuwa unalipwa na ndio kutolewa shimoni hivyo!!! Unasahau msemo wa wahenga ya kuwa, "kila auae kwa upanga hufa kwa upanga?". Andaa shingo kwani wakimalizana nasi utafuata wewe!
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom