Alichokizungumza kwenye mapokezi ya ndege sicho walichotegemea kusikia

Nigeria kuna Jamaa ana kampuni yake kaagiza ndege Boeng Mia (100), sisi kwetu zipo sita tu.

Mkuu watch your step, tunakuangalia ujue kama humpendi wewe sisi tunampenda na ukichaa wake huohuo. Sabab ndo katutoa shimoni sasa tunaelekea mahali salama. Ningekuwa jiran na wewe ningekuchoma hata kisu kaka.

Acha Mahaba ya Kifa,la, Jifunze ku-balance SHOBO utakuja olewa mtoto wa kiume kutaka kuua mwanaume mwenzio kisa Mahaba(eti tunampenda na ukichaa wake) kwa mwanaume. hilo shimo alilokutoa ni lipi.???

Acha mihemko utaishia JELA
 
Nyie ndiye mnadhani UAE Singapore Thailand Malaysia Korea maendeleo yameletwa na Magufuli.Magufuli kaharibu nchi uchumi unaporomoka.Kafanikiwa maneno ya jukwaani tuu.Korosho kachemsha.
Mahindi miaka yote NRFA walikua wakiuza wfp na hifadhi ilikuwepo tani laki 4.sasa hivi hata tani 65000 hakuna
Wahenga walsema wajinga waliwao
 
Wengi walisubiri kwa hamu kusikia ule mtanange wa siku mbili tatu wa vigogo wawili labda chairmani atagusia ili wapate cha kuamkia kesho,magazeti yauze na yule wanae msakama waendelee kumsakama,
Lakini chairman aliwasoma mawazo yao kabla!
Wanakwenda kulala huku wakisononeka na yule waliyemshangilia huko kipindi cha nyuma uwepo wake leo umewanyong'onyeza kabisa na ile hutuba yake ya kusifia imewatia kizunguzungu kuwa binaadamu haaminiki hata yule aliye jela au kule ulaya anaweza badilika!
Jibu maswali haya:- 1) Jee amerudishiwa uraia wake? 2) Jee toba imefanyika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha wacha ni cheke mie anajipiga chenga mwenyewe kila mtanzania anajuwa ni fisadi na mwenziwe ndugai maana waficha ripoti iliyooonyesha wamefisai pesa za umma ila magufuli mshamba
Yeye mshamba kapambana mpaka kawa rais yaan Tz one je wewe ujanja wako umekusaidia nn
 
Wengi walisubiri kwa hamu kusikia ule mtanange wa siku mbili tatu wa vigogo wawili labda chairmani atagusia ili wapate cha kuamkia kesho,magazeti yauze na yule wanae msakama waendelee kumsakama,
Lakini chairman aliwasoma mawazo yao kabla!
Wanakwenda kulala huku wakisononeka na yule waliyemshangilia huko kipindi cha nyuma uwepo wake leo umewanyong'onyeza kabisa na ile hutuba yake ya kusifia imewatia kizunguzungu kuwa binaadamu haaminiki hata yule aliye jela au kule ulaya anaweza badilika!

Rais hawezi kurudia kwani juzi wakati anawaapisha wateule alishasema wazi akimwambia spika Ndugai kuwa analiunga bunge mkono pamoja na mihimili mimgine.Huu ni ujumbe tosha kwa hili unaloliita sakata.Kwa wale wanaojua kusoma katikati ya mistari wanajua.
 
walitegemea kusikia zaidi ya hayo!
 
Anataka kukatiwa mauno na mke wa Majaliwa lakini jamaa ana wivu sana, anahofia. Saa zote huyo kichaa anawaza wake za watu tu.
Hakuna chaguo jingine endelea kuishi na vipande vya chupa moyoni!
 
MAZWAZWA kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Chama cha mumiani miaka 57 madarakani lakini hakuna cha kujivunia na wewe ZWAZWA unaona chaguo ni kichaa tu!!

Hakuna chaguo jingine endelea kuishi na vipande vya chupa moyoni!
 
Back
Top Bottom