Alichokizungumza kwenye mapokezi ya ndege sicho walichotegemea kusikia

Mkuu nakuunga mkono na hata mimi ningejua huyu bwana yuko wapi ninhempa taabu maana ni mmoja kati ya watu sasiotutakia mema kama Taifa. Huyu mzee kaletwa na Mungu kuja kutuokoa hapaswi kudhihakiwa to that extent tena na watu sasiokuwa hata na ujuvi wala chochote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti kaletwa na mungu hivi hizi akilini zenu mmejaza machenza kiChwani
 
Nyie ndiye mnadhani UAE Singapore Thailand Malaysia Korea maendeleo yameletwa na Magufuli.Magufuli kaharibu nchi uchumi unaporomoka.Kafanikiwa maneno ya jukwaani tuu.Korosho kachemsha.
Mahindi miaka yote NRFA walikua wakiuza wfp na hifadhi ilikuwepo tani laki 4.sasa hivi hata tani 65000 hakuna
Wameshindwa kukusanya kodi, sababu ya maamuzi ya hovyo kufungia biashara za watu ambao ndio walipa kodi.Sasa wanatafuta fedha kwa kuuza mahindi ya akiba shame.
 
Wengi walisubiri kwa hamu kusikia ule mtanange wa siku mbili tatu wa vigogo wawili labda chairmani atagusia ili wapate cha kuamkia kesho,magazeti yauze na yule wanae msakama waendelee kumsakama,
Lakini chairman aliwasoma mawazo yao kabla!
Wanakwenda kulala huku wakisononeka na yule waliyemshangilia huko kipindi cha nyuma uwepo wake leo umewanyong'onyeza kabisa na ile hutuba yake ya kusifia imewatia kizunguzungu kuwa binaadamu haaminiki hata yule aliye jela au kule ulaya anaweza badilika!
Hotuba haijanoga leo haina hata vijembe na mapompasi.
 
Wengi walisubiri kwa hamu kusikia ule mtanange wa siku mbili tatu wa vigogo wawili labda chairmani atagusia ili wapate cha kuamkia kesho,magazeti yauze na yule wanae msakama waendelee kumsakama,
Lakini chairman aliwasoma mawazo yao kabla!
Wanakwenda kulala huku wakisononeka na yule waliyemshangilia huko kipindi cha nyuma uwepo wake leo umewanyong'onyeza kabisa na ile hutuba yake ya kusifia imewatia kizunguzungu kuwa binaadamu haaminiki hata yule aliye jela au kule ulaya anaweza badilika!
Luka 6:26
26 Ole wenu ninyi watu wote watakapowasifu, kwa kuwa baba zao waliwatenda manabii wa uongo mambo kama hayo.Upendo kwa Adui

huo ndio ujumbe aliopewa mkuu wenu, sio kila sifa ni sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi walisubiri kwa hamu kusikia ule mtanange wa siku mbili tatu wa vigogo wawili labda chairmani atagusia ili wapate cha kuamkia kesho,magazeti yauze na yule wanae msakama waendelee kumsakama,
Lakini chairman aliwasoma mawazo yao kabla!
Wanakwenda kulala huku wakisononeka na yule waliyemshangilia huko kipindi cha nyuma uwepo wake leo umewanyong'onyeza kabisa na ile hutuba yake ya kusifia imewatia kizunguzungu kuwa binaadamu haaminiki hata yule aliye jela au kule ulaya anaweza badilika!
Samahani, uwepo wa nani?
 
Usinchekeshe! Kwa hiyo ilibidi atokee mtu (Kikwete) aipinde nchi ili aje mwingine (Magufuli) ainyoshe nchi! Kulingana na msimamo wako zama zile na msimamo wako zama hizi, vitabu vyote vilikuwa sahihi ila historia ndiyo ilipotea njia. Hongera sana FaizaFoxy, unafaidi kote kote.
Hakuna kati yao asiyefata ilani ya uchaguzi ya CCM.

Ni watu tofauti wenye backgrounds tofauti kwa hiyo lazima style zao za uongozi zitakuwa tofauti. Lakini kazi ni ileile.
 
Duh, kweli watu mna akili. Hiyo nayo ni staili ya namna yake...Kikwete na Kinana (wote wana jeshi), Magufuli na Bushiru (wote madaktari) lakini CCM ikiwa ni ile ile. Nchi ile ile, tiba tofauti lakini FaizaFoxy yupo tu huku vigelegele na ving'ora mtindo moja, FaizaFoxy unajua kweli kula na vipofu...kila la heri na lala salama...
 
Back
Top Bottom