Alichokitaja Jaji ni Kifungu cha Kufuta Kesi, Mawakili walitaja Kifungu cha Kujibu kama kuna kesi ya kujibu au la!

What if kama ameamua kutomwachia huo ushahidi akausoma vizuri wakati wa utetezi? Mimi nawewe nani ana akili nzito?
Wengi tulipenda iishie hapa wawe huru but mahakama kama mahakamaaaaaa inakamua
Wengi tunaumia kuona Mbowe anadhulumiwa haki but haki itapatikana hata kama itachelewa
 
Back
Top Bottom