Alichokisema Dr.W. Silaa Vs Kile Tunachokifanya!.

Mimi namshangaa mtu anayemshangaa muhuni lema kana kwamba alitegemea kitu tofauti kutoka kwa huyo chalii wa Arusha!

Watu makini washampuuza lema na yule mchungaji oppotunist anayelilia nafasi ya Mh Zitto kwa kumtukana matusi mitandaoni.

Hao wengine nao pia hawaniumizi kichwa Zitto ni zaidi ya majungu yao...

CHADEMA kwenye hili sakata tushajichanganya na hili si jambo jema kwetu,leo watu wanaongozwa na chuki eti kwanini Zitto anashangiliwa na CCM bungeni..hili nalo ni la kujadili

Turudi kwenye mada yako hata hiyo katiba unayoiongelea si ndio hiyo ambayo haina ukomo wa madaraka ndo Dr Slaa anataka watu waiogope,ambayo inazuia watu kugombea Uwenyekiti?,si ajabu kuna kipengele kinachosema mwenyekiti ni MFALME...

Wanaruhuriwa kugombea lakini si kwa saport ya ccm! kuna ushahidi wa mazingira kuwa zitto anatumiwa na ccm kuwa m/kt cdm.huo upuuzi hauwezi kutokea cdm na fahamuni kuwa cdm ni chama cha ukombozi na kamwe hakiwezi kuongozwa na mtu dhaifu kama zitto tena msaliti
 
Mkuu,

Jana sikutaka kabisa kukujibu zile tuhuma dhahania ulizozielekeza kwangu na kwa viongozi wakuu wa chama changu, Katika hilo nimeamua kutojibu kabisa, na hapa nimekupa taarifa tu kuwa sitajibu,

Sababu kubwa yakutojibu ni moja tu, nayo ni yadhahania vilevile kama ilivyokuja tuhama yako ya dhahania,

"Huenda unamsongo wa mawazo katika anga la siasa za Tanzania kwa yalotukia"

Naaaam nirejee kwenye mada ubaoni,

Kwanza kabla sijachangia chochote kwenye hoja yako hii naomba, tena naomba sana ndugu yangu, Je unaifahamu katiba ya Chadema? Unaifahamu sera ya Chadema 2010 jadi 2015?

Kama unavifahamu naomba niambie ili twende hatua kwa hatua kuchambua hoja yako kwakutumia miongozo hiyo,

Lakini kama hufahamu naomba nijitolee kuwa mkufunzi wako wa masuala ya Chadema, na wakati nikikufunza hakikisha unaacha upotoshaji wako hapa jukwaani,

Niwie radhi kama nitakukwaza, lakini nia yangu nikukufanya uwe muumini wa misingi na sera za chadema kama kweli unajiita mwanachadema!
 
Mkuu wala usiwe unaumiaza kichwa, kama vipi subiri MM anapotimuliwa rasmi, uondoke nae.

CHADEMA ni chama kinachojianda kuchukua dola. Hakiwezi kuwa na double standard s
Bwana POMPO kama ungechangia kwenye mada husika badala ya kuchangia kumuhusu mleta mada ingependeza sana.Hata hivyo walau najua kwa nini hali inakuwa hivyo.

Ndugu POMPO , Ushawahi kumchapa mtoto wako au wa jirani kwa sababu fulani iwe alikuwa anacheza kwenye miiba peku au iwe ulitumwa na CCM? Je! ulimchapa kwa kuwa unamchukia? hapa naona kuna tatizo kubwa la kitafsiri miongoni mwetu.

Bwana POMPO naamini wewe ni mwanaume.Inawezekana ushawahi kupenda mwanamke au kama hujawahi; basi waulize wenzako.Waulize wazee wako kwamba ni hatari zipi zinazomkabili mtu ambaye anampenda sana mwanamke kiasi cha kumuona hawezi kukosea kwa namna yeyote, hivyo yeye humuunga mkono na kumshangilia tu masaa 24.Muulize babu yako atakuambia hatma yake.

Ushawahi kumuona mwanamke/mwanaume anataka kuoa mtu fulani halafu wenzake wakimuambia mbona.......? jamaa hataki mjadala.Yaani anatamani awe na huyo anaetaka kuoa/kuolewa naye hata kwa usiku mmoja tu hata kama alfajiri atauawa tehe! tehe! tehe! sasa suala la mambo ya uongozi ni tofauti kidogo mkuu.

Halafu hivi unajua ukimchukia mtu na hasa kama umemchukia bila sababu ya msingi, hata ukimwona tu, unaona mpaka sura imebadilika.Unamwona amekuwa mbayaaa! tehe! tehe! .Kwa taarifa yako ubaya ule unakuwa hauko kwake bali unakuwa uko ndani ya fikra zako tu. tehe! jioni njema.
 
Last edited by a moderator:
It is not always the rule, wakati mwingine kuna exceptions, kwa mfano Tundu Lissu kuwa kinara wa ma-F4F.
Wengine kina Sugu, Lema, Msigwa na hata Mbowe mwenyewe.
Rafiki, nadhani hujaelewa uchungu tulionao. Hivi unataka kunambia wenye elimu wakiongoza nchi mambo yanakuwa shwari? Liangalie taifa linaloitwa Tanzania. Sasa hivi kuna hadi div 5, yani ukikaa kwenye chumba cha mtihani tu bila kuandika chochote, umeshinda. Hayo ni matokeo ya watu unaowaona (wewe) kwamba wameelimika. Walikaa chumbani wakapaanga na wakatuletea mipango yao. Kisa? Eti kufikia 2015, idadi ya wanafunzi walioshinda itaongezeka. (Hao ni wasomi wako ambao ni janga la taifa kwa anayefikilia kwa kicha bila tumbo)

JK na wasomi wake, anatuma muda mwingi hewani (akiwa kwenye ndege) au nchi za nje kuliko ofisini kwake. (Hao ni wasomi wako kaka-wenye elimu isiyo uchwara). Afu akirudi siku moja tu, anaanza kuwasingizia mawaziri. Kwamba kuna mawaziri mizigo. Sasa nashindwa kuelewa, mzigo ni mkuu au ni waziri (tuelewesheni wasomi tafadhali).

Kila siku, Tembo kumi na watano wanauwawa (hii ni average ya Tembo 450 kwa mwezi)-msomi utanikosoa. Mpaka leo, hakuna aliyeshtakiwa wala kukamatwa. Hii ni serikali ya wasomi, alright? Achilia wanyama wanaosafirishwa live kwenye ndege za Qatar.

Let us be serious now dear, hivi kwa CCM kutawala miaka zaidi ya 50, ni shule gani ya Serikali ungependa kupeleka mtoto wako sasa hivi? (seriously).

Kwa mtu asiyejua kusoma ni nini, akiangalia matunda ya waliosoma, ni rahisi sana kuikabidhi nchi si kwa watu ambao hawakusoma tu bali kwa Mbwa! Kwa sababu Mbwa wanasikia. Ukiwazuia kitu watakusikia tu.
 
Mkuu,

Jana sikutaka kabisa kukujibu zile tuhuma dhahania ulizozielekeza kwangu na kwa viongozi wakuu wa chama changu, Katika hilo nimeamua kutojibu kabisa, na hapa nimekupa taarifa tu kuwa sitajibu,

Sababu kubwa yakutojibu ni moja tu, nayo ni yadhahania vilevile kama ilivyokuja tuhama yako ya dhahania,

"Huenda unamsongo wa mawazo katika anga la siasa za Tanzania kwa yalotukia"

Naaaam nirejee kwenye mada ubaoni,

Kwanza kabla sijachangia chochote kwenye hoja yako hii naomba, tena naomba sana ndugu yangu, Je unaifahamu katiba ya Chadema? Unaifahamu sera ya Chadema 2010 jadi 2015?

Kama unavifahamu naomba niambie ili twende hatua kwa hatua kuchambua hoja yako kwakutumia miongozo hiyo,

Lakini kama hufahamu naomba nijitolee kuwa mkufunzi wako wa masuala ya Chadema, na wakati nikikufunza hakikisha unaacha upotoshaji wako hapa jukwaani,

Niwie radhi kama nitakukwaza, lakini nia yangu nikukufanya uwe muumini wa misingi na sera za chadema kama kweli unajiita mwanachadema!
mkuu,

kwanza unielewe nina nia njema kabisa.Kuhusu tuhuma sijatunga kitu kama nimetunga niambie.Ungetoa jibu moja tu simple. Wewe umekuwa ukimuita Zitto kwa majina kama vile Muhuni n.k (kama nimekuzushia nisahihishe) tangu akiwa kiongozi wa chama hadi alipovuliwa uongozi wa chama. Swali langu ni moja tu.Unadhani hicho ni kitendo cha kiuadilifu na kiungwana? (kimaadili tu) tukiruka kipengele hiki, kuna vitu vingi sana ni vigumu sana kuvishughulikia baadae na kuna vitu vingi sana ambavyo vitapoteza mantiki yake na wewe unajua.Nadhani penye tatizo la msingi tukubali ndugu yangu.
 
akili yako ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa mjinga ni mjinga tu hata umsaidie habadiliki so endelea na ujinga huo huo sisi tunajenga chama na kukiimarisha.
 
haya bwana.Haudhani kama ingekuwa bora ungenielimisha kidogo ili nipunguze ujinga?
 
Jana akiwa mkoani Kigoma, katibu mkuu wa CHADEMA, Dr.W.Slaa alipokuwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wake alisema “CHADEMA hatumuogopi Slaa, hatumuogopi Mbowe, Hatumuogopi Mtei wala hatumuogopi Zitto. Hatuogopi mtu yeyote. CHADEMA tunaiogopa katiba!”. Ukiitizama kauli hii unagundua kwamba ni kauli ya kifalsafa; falsafa sahihi kabisa inayopaswa kufanyiwa kazi na taasisi yeyote kubwa inayotaka kuendelea .

Hata hivyo nikilinganisha kauli hii sahihi (kimantiki), ya Kiongozi huyo maarufu kabisa nchini, na kile tunachokifanya, binafsi kuna vitu nashindwa kuvielewa!.Pengine tatizo ni uchanga wangu katika masuala ya katiba sheria na siasa na hasa siasa za CHADEMA!.Ni matumaini yangu basi kwamba wale ambao ni wakomavu katika mambo haya watanielewesha kiroho safi tu!.

1.Tumemshuhudia Msigwa! Namzungumzia Mchungaji Msigwa!, akiwatukana wanachama wenzake hadharani na hajachukuliwa hatua yoyote.Tumemsikia maneno aliyoyatoa Arusha kuwakashifu wanachama Fulani ndani ya chama.Ningependa wanaojua katiba vizuri wanisaidie, Mchungaji alikuwa akitekeleza kipengele gani cha katiba katika hili!

2.Mh.Lema! Namzungumzia Lema wa Arusha! Tumemsikia akizua tuhuma na kejeli dhidi wa wanachama/viongozi wenzake bila kupitia vikao, bali mikutano na mitandao ya kijamii.Kila mtu ni shahidi wa hili na hajachukuliwa hatua yeyote, hata kukemewa!. Ningewaomba wenzangu ambao ni wajuvi wa katiba na mambo ya sheria na siasa wanifahamishe kama Lema alikuwa akitekeleza kipengele gani cha katiba ya Chama au ya Nchi!.

3.Yericko, Namzungumzia Yericko Nyerere, yeye amekuwa akimkashifu mwanachama/aliyekuwa kiongozi mwandamizi wa Chama kwa kumuita muhuni n.k.Yeye mwenyewe ni shahidi wa hilo na kwa kuwa yuko hapa atakana ikiwa namsingizia!.Yericko amekuwa akitusisitiza wakati wote kufuata misingi/katiba na si mtu.Ningependa yeye mwenyewe, au mtu mwengine ambaye anaijua katiba vizuri atusaidie kwamba alikuwa akitekeleza kufungu gani katika katiba!.

4. Ndani na nje ya bunge kuna watu wamekuwa wakiwaita wezao kwa majina ya kejeli na ya kuudhi.Ningependa wanaojua katiba wanisaidie kunielewesha kama hiyo nayo ni sehemu ya utekelezaji wa katiba.Ningependa wajuvi wa siasa wanijulishe ikiwa chama au kikundi cha siasa kinaweza kupata uungwaji mkono zaidi pale kinapowaita kwa majina mabaya na ya kuudhi wale ambao ndio wanatakiwa kukiunga mkono Chama.Hivi tunajua hakuna mtu anayezakiwa na chama? hivi tunajua CCM wa Jana ni CHADEMA wa leo n.k? Hivi mfano tunadhani tunaweza kumshawishi mtu wa CCM akajiunga na CHADEMA kwa kumuita "MACCM" "PIMBI" "NDONDOCHA" "MSENGENYAJI"n.k? Hivi wewe mtu akikushawishi kumuunga mkono kwa staili hiyo,unamuunga?

Hivi hatuoni kwa kutukanana! na kuitana majina ya kuudhi bila sababu kunachochea chuki isiyo ya lazima?Hivi tunadhani kama kila mtu akiamua kuchochea chuki dhidi ya mwenzake ni nini hatma ya nchi hii? Hivi tunajua hatua ya kwanza kuelekea mauaji ya kimbari ni ubaguzi, na hatua ya pili ni kuchochea chuki kati ya kundi na kundi, chama na chama n.k?

Najua wapo watakaonitukana ila najua wapo watakaonielewa vile vile.
Hizi ni pumba manake zote hizo ni jinai kama ni kweli mbona hawajakamatwa? halafu ulitakiwa utuletee kifungu cha katiba kinavyosema kwa kila kashfa uliyoitaja ili tupime
 
Nijuavyo mimi, kutukana mtu ni kosa la kimaadili na kosa la kimaadili hivyo kwa vyovyote vile ni kosa la kikatiba kwa kuwa katiba huwataka viongozi wawe waadilifu. Simple,hala hakuna haja ya kujaza vifungu hapa vinginevyo iwe kwa sababu maalum.(na ukiona katiba yeyote ya taasisi yeyote inapingana na misingi maa ya kimaadili, basi ujue katiba hiyo ina tatizo mahali). nimeuliza hivyo tu ili kuwamafanya watu watafakari kwa makini.Kuhusu kwamba kwa nini hawakukamatwa hilo ni suala lingine.Mimi kwa mfano kama nikikukashifu au kukutukana wewe na nisipokamatwa, haimaanishi kwamba sasa nilichofanya ni sahihi.
 
Rafiki, nadhani hujaelewa uchungu tulionao. Hivi unataka kunambia wenye elimu wakiongoza nchi mambo yanakuwa shwari? Liangalie taifa linaloitwa Tanzania. Sasa hivi kuna hadi div 5, yani ukikaa kwenye chumba cha mtihani tu bila kuandika chochote, umeshinda. Hayo ni matokeo ya watu unaowaona (wewe) kwamba wameelimika. Walikaa chumbani wakapaanga na wakatuletea mipango yao. Kisa? Eti kufikia 2015, idadi ya wanafunzi walioshinda itaongezeka. (Hao ni wasomi wako ambao ni janga la taifa kwa anayefikilia kwa kicha bila tumbo)

JK na wasomi wake, anatuma muda mwingi hewani (akiwa kwenye ndege) au nchi za nje kuliko ofisini kwake. (Hao ni wasomi wako kaka-wenye elimu isiyo uchwara). Afu akirudi siku moja tu, anaanza kuwasingizia mawaziri. Kwamba kuna mawaziri mizigo. Sasa nashindwa kuelewa, mzigo ni mkuu au ni waziri (tuelewesheni wasomi tafadhali).

Kila siku, Tembo kumi na watano wanauwawa (hii ni average ya Tembo 450 kwa mwezi)-msomi utanikosoa. Mpaka leo, hakuna aliyeshtakiwa wala kukamatwa. Hii ni serikali ya wasomi, alright? Achilia wanyama wanaosafirishwa live kwenye ndege za Qatar.

Let us be serious now dear, hivi kwa CCM kutawala miaka zaidi ya 50, ni shule gani ya Serikali ungependa kupeleka mtoto wako sasa hivi? (seriously).

Kwa mtu asiyejua kusoma ni nini, akiangalia matunda ya waliosoma, ni rahisi sana kuikabidhi nchi si kwa watu ambao hawakusoma tu bali kwa Mbwa! Kwa sababu Mbwa wanasikia. Ukiwazuia kitu watakusikia tu.
Sawa mkuu ahsante HII NI ELIMU TOSHA!! Hebu tuone wajadili hoja wengine!!
 
mkuu ni hivi jf ni nyumaban kwa magreat thinker kwa hiyo wasipochangia mada, ni sahihi kusema gt hawajachangia.Rudi kwenye hoja ya msingi wewe

Ok, vyema kama tumeelewana kwamba kuchangia au kutochangia kutategemea uzito wa hoja na si umaarufu wa waliopost.
 
Rafiki, nadhani hujaelewa uchungu tulionao. Hivi unataka kunambia wenye elimu wakiongoza nchi mambo yanakuwa shwari? Liangalie taifa linaloitwa Tanzania. Sasa hivi kuna hadi div 5, yani ukikaa kwenye chumba cha mtihani tu bila kuandika chochote, umeshinda. Hayo ni matokeo ya watu unaowaona (wewe) kwamba wameelimika. Walikaa chumbani wakapaanga na wakatuletea mipango yao. Kisa? Eti kufikia 2015, idadi ya wanafunzi walioshinda itaongezeka. (Hao ni wasomi wako ambao ni janga la taifa kwa anayefikilia kwa kicha bila tumbo)

JK na wasomi wake, anatuma muda mwingi hewani (akiwa kwenye ndege) au nchi za nje kuliko ofisini kwake. (Hao ni wasomi wako kaka-wenye elimu isiyo uchwara). Afu akirudi siku moja tu, anaanza kuwasingizia mawaziri. Kwamba kuna mawaziri mizigo. Sasa nashindwa kuelewa, mzigo ni mkuu au ni waziri (tuelewesheni wasomi tafadhali).

Kila siku, Tembo kumi na watano wanauwawa (hii ni average ya Tembo 450 kwa mwezi)-msomi utanikosoa. Mpaka leo, hakuna aliyeshtakiwa wala kukamatwa. Hii ni serikali ya wasomi, alright? Achilia wanyama wanaosafirishwa live kwenye ndege za Qatar.

Let us be serious now dear, hivi kwa CCM kutawala miaka zaidi ya 50, ni shule gani ya Serikali ungependa kupeleka mtoto wako sasa hivi? (seriously).

Kwa mtu asiyejua kusoma ni nini, akiangalia matunda ya waliosoma, ni rahisi sana kuikabidhi nchi si kwa watu ambao hawakusoma tu bali kwa Mbwa! Kwa sababu Mbwa wanasikia. Ukiwazuia kitu watakusikia tu.

Libarikiwe sana tumbo la mama aliyezaa kijana mwenye fikra njema kama hii tunataka wanapinduzi kama wewe na wala si wasomi hivi mzee karume alifika darasa la ngapi? ukiona mtu anang'ang'ania sana usomi usomi ujue he has a sick mind watu hawajui nini kina matter katika misha wanadhani elimu ndio kila kitu lakini kwa taarifa tu ni kwamba mgunduzi wa umeme THOMAS EDISON alikuwa na elimu ya darasa la tatu pekee; hebu jaribu kuifikiria dunia bila umeme......
 
mkuu,

kwanza unielewe nina nia njema kabisa.Kuhusu tuhuma sijatunga kitu kama nimetunga niambie.Ungetoa jibu moja tu simple. Wewe umekuwa ukimuita Zitto kwa majina kama vile Muhuni n.k (kama nimekuzushia nisahihishe) tangu akiwa kiongozi wa chama hadi alipovuliwa uongozi wa chama. Swali langu ni moja tu.Unadhani hicho ni kitendo cha kiuadilifu na kiungwana? (kimaadili tu) tukiruka kipengele hiki, kuna vitu vingi sana ni vigumu sana kuvishughulikia baadae na kuna vitu vingi sana ambavyo vitapoteza mantiki yake na wewe unajua.Nadhani penye tatizo la msingi tukubali ndugu yangu.

Mkuu hujajibu nilichohoji kwako,

Hebu rejea maneno yangu haya hapa chini,

Kwanza kabla sijachangia chochote kwenye hoja yako hii naomba, tena naomba sana ndugu yangu, Je unaifahamu katiba ya Chadema? Unaifahamu sera ya Chadema 2010 jadi 2015?

Kama unavifahamu naomba niambie ili twende hatua kwa hatua kuchambua hoja yako kwakutumia miongozo hiyo,

Lakini kama hufahamu naomba nijitolee kuwa mkufunzi wako wa masuala ya Chadema, na wakati nikikufunza hakikisha unaacha upotoshaji wako hapa jukwaani,

Niwie radhi kama nitakukwaza, lakini nia yangu nikukufanya uwe muumini wa misingi na sera za chadema kama kweli unajiita mwanachadema.
 
Nijuavyo mimi, kutukana mtu ni kosa la kimaadili na kosa la kimaadili hivyo kwa vyovyote vile ni kosa la kikatiba kwa kuwa katiba huwataka viongozi wawe waadilifu. Simple,hala hakuna haja ya kujaza vifungu hapa vinginevyo iwe kwa sababu maalum.(na ukiona katiba yeyote ya taasisi yeyote inapingana na misingi maa ya kimaadili, basi ujue katiba hiyo ina tatizo mahali). nimeuliza hivyo tu ili kuwamafanya watu watafakari kwa makini.Kuhusu kwamba kwa nini hawakukamatwa hilo ni suala lingine.Mimi kwa mfano kama nikikukashifu au kukutukana wewe na nisipokamatwa, haimaanishi kwamba sasa nilichofanya ni sahihi.
Jibu hoja usiongee mambo ya kusadikika hapa mbona hawajakamatwa? bila reseach hakuna haki kuongea mwaga data weka vifungu tuamue sisi uliotumwagia pumba. Pia uelewe akili ndogo hujadili watu
 
Mkuu,

Jana sikutaka kabisa kukujibu zile tuhuma dhahania ulizozielekeza kwangu na kwa viongozi wakuu wa chama changu, Katika hilo nimeamua kutojibu kabisa, na hapa nimekupa taarifa tu kuwa sitajibu,

Sababu kubwa yakutojibu ni moja tu, nayo ni yadhahania vilevile kama ilivyokuja tuhama yako ya dhahania,

"Huenda unamsongo wa mawazo katika anga la siasa za Tanzania kwa yalotukia"

Naaaam nirejee kwenye mada ubaoni,

Kwanza kabla sijachangia chochote kwenye hoja yako hii naomba, tena naomba sana ndugu yangu, Je unaifahamu katiba ya Chadema? Unaifahamu sera ya Chadema 2010 jadi 2015?

Kama unavifahamu naomba niambie ili twende hatua kwa hatua kuchambua hoja yako kwakutumia miongozo hiyo,

Lakini kama hufahamu naomba nijitolee kuwa mkufunzi wako wa masuala ya Chadema, na wakati nikikufunza hakikisha unaacha upotoshaji wako hapa jukwaani,

Niwie radhi kama nitakukwaza, lakini nia yangu nikukufanya uwe muumini wa misingi na sera za chadema kama kweli unajiita mwanachadema!
Hata hivyo mkuu ilikuwa ni ushauri na mjadala wa kawaida tu ila naona tunaelekea kwenye kulumbana na naona kuna ka dalili ka kuelekea kwenye ka mgogoro.Kama vipi kama unaona nilichokushauri na nilichosema nimekukosea basi nisamehe mkubwa na naahidi kutokukuambia , kukushauri au kukukosoa tena. Amani! Amani! Amani mkuu. Kama nimekukwaza basi yaishe bwana!.
Ni matumaini yangu kwamba utanisamehe ndugu yangu.Sikulenga kukuudhi bwana!
Usiku mwema.
 
Jibu hoja usiongee mambo ya kusadikika hapa mbona hawajakamatwa? bila reseach hakuna haki kuongea mwaga data weka vifungu tuamue sisi uliotumwagia pumba. Pia uelewe akili ndogo hujadili watu
Mkuu sio mgogoro, kama umekereka basi ya ishe.Nimekuelewa kwamba sasa hivi kinachoashiria kwamba mtu kakosea, ni mtu husika kukamatwa.Nimekuelewa mkuu.
 
Hata hivyo mkuu ilikuwa ni ushauri na mjadala wa kawaida tu ila naona tunaelekea kwenye kulumbana na naona kuna ka dalili ka kuelekea kwenye ka mgogoro.Kama vipi kama unaona nilichokushauri na nilichosema nimekukosea basi nisamehe mkubwa na naahidi kutokukuambia , kukushauri au kukukosoa tena. Amani! Amani! Amani mkuu. Kama nimekukwaza basi yaishe bwana!.
Ni matumaini yangu kwamba utanisamehe ndugu yangu.Sikulenga kukuudhi bwana!
Usiku mwema.

Mimi ni rastafari, sijawahi kuchukia/kumchukia mtu bila kujirudi,

Msamaha wako nimeupokea kwamikono miwili na moyo safi kabisa,
 
Mkuu hujajibu nilichohoji kwako,

Hebu rejea maneno yangu haya hapa chini,
Mkuu naona kuna dalili ya kuingia kwenye mgogoro na mimi sipendi kuingia kwenye mgogoro na wewe.Naomba kama umeona kuwa nilichosema, au nilichokuambia, nimekukosea, nimekutuhumu, nimekuzushia au nimekufedhehesha kwa namna yeyote ile Nisamehe yaishe ndugu.Naona tunakoelekea hapatakuwa na mwisho mwema.nadhani tuishie hapa na sasa nitajiepusha kukutaja kwa namna ambayo nadhani inaweza kusababisha mgogoro.
 
Back
Top Bottom