Alichokifanya Regina Lowassa pale Bukoba, huku mumewe akifunika Muleba

wengne wapo kama magunia ya mkaa, kuomba pesa 2, kwenda kwa waganga, magol kpa hata kuwashaur mabeb wao n shda aiseeh.. jion maesabu kwel
 
NDIO maana Lowassa ni TAJIRI... sbb huyu mama Regina ni MAMA KWELI KWELI.... mzee Lowassa hana PRESSURE KABISAAAAA, MUDA WOTE ANAWAZA MAENDELEO.... Mwanamke ndio kila kitu ktk MAFANIKIO YA MUME WAKE....!!!

Huyu mama, MUNGU aampe MAISHA MAREFU NA FANAKA duniani...!!!

Mama Regina, ww ni MFANO mkubwa sana wa kuigwa...kwa wanaume na wanawake wote...!!!

ASANTE sanaa mama...!!!
Jay One ni kweli mkuu, unadhani kama kiongozi huku nyumbani anamuhofia Babu S......ya na nje ya nyumba " wanawake na Maendeleo tufanyekazi tusonge mbele €¥√ eee!" Kweli atakuwa na mawazo yaliyotulia kuleta Maendeleo au naye atageuka wa mipasho tuu na kuzurura?
Ndoa bora ni baraka, na MUNGU huiinua isifedheheke daima.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mama nakumbuka mumewe alipokuwa akijiuzulu uwaziri mkuu bungeni alilia sasa....anapenda sana ukubwa na nadhani ndie aliyemshawishi mumuwe kukimbilia ukiwa ili apate urais...

Lowassa hatashinda na huyu mama atalia tena machozi ya damu...
 
wacha lowassa awe tajiri coz huwezi kuwa na mwanamke mwenye akili kama huyu ukawa masikini hawa ndo walifaa kuwa walimu wa shule zetu si kama wakina mrs........... na mrs................

sio kama Mrs magufuli na Mrs kikwete.....
 
Mama la Mama, Regina Lowassa, jana alikuwa na mkutano wa ndani na akina mama wa Bukoba mjini. Akina mama hao walifurika kupita maelezo kumsikiliza Mama Lowassa jana pale Bukoba na leo Lowassa atakinukisha jioni hii pale Bukoba Mjini.

View attachment 288443

Mbona mi naona watoto no viongozi wa chadema tu, hapa akina mama wako wapi?
 
ama kweli duni kaingizwa mjini. Naona regina anapewa promo kuliko hata duni. Masikini cuf na duni wao aliyejivika uchadema feki.

Namuonea huruma mwanacuf yeyote anayeshangilia chama lake kufa

unafiki mtupu.
 
Mama anapiga kazi mchana na usiku, safi sana first lady wetu

Huyu mama alikuwa na nafasi nzuri sana ya kumuepusha mumewe dhidi ya udhalilishwaji unaondelea. Lowassa amegeuzwa 'cash cow'bila kujali hali ya afya yake. Wajanja wanam-keep busy huyu mama huku wakiendelea kumdunga sindani ili azma zao zitimie! Siku atashtuka nini kinaendelea itakuwa too late!
 
kwa hiyo unatuambia akina mbowe ndio wanamdunga sindano za sumu?he bu funguka mzee wa kitengo.
 
Huyu mama alikuwa na nafasi nzuri sana ya kumuepusha mumewe dhidi ya udhalilishwaji unaondelea. Lowassa amegeuzwa 'cash cow'bila kujali hali ya afya yake. Wajanja wanam-keep busy huyu mama huku wakiendelea kumdunga sindani ili azma zao zitimie! Siku atashtuka nini kinaendelea itakuwa too late!
Itakuwa too late kwako kwasababu wakati unatoa tongotongo tayari watakuwa magogoni
 
Mama mama mama mama huyo mama huyo Regina my first Lady mwenye akili. Mama kama Huyu ni lazima nchi ibadilike. Mke imara ni hazina ya Maendeleo. Mamsapu wangu ni proven example. Amenitoa mbali Mimi na familia yangu mpaka kwa wazee na ndugu wa damu. Shikamoo mama L wangu wewe na Regina kiboko.
 
Back
Top Bottom