Alichokifanya Magufuli ni kudhibitisha madai ya wapinzani

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Alichokifanya Magufuli ni kudhibitisha madai ya muda mrefu ya vyama vya upinzani kuwa ni makosa kumteua mtu aliyekataliwa na wananchi kwa kushindwa "kudeliver".
Kutumbuliwa kwa Anne Kilango Malecela ni heshima kubwa kwa wananchi wa Same Mashariki waliomktaa kwenye sanduku la kura mwaka jana na kumchagua mama Kaboyoka (CHADEMA). Maana yake ni kwamba wanancahi wa Same Mashariki waliugundua udhaifu wa Mama Kilango kabla washauri wa Rais hawajauona.
Haiwezekani mtu aliyekataliwa na wananchi kwa kushindwa kuwajibika apewe mkoa au wilaya kuongoza. Wapinzani wamepiga kelele miaka mingi wakisema kumteua mtu aliyekataliwa na wananchi ni kuwatukana wananchi hao lakini serikali iliziba masikio.
JPM nae hakuamini hiyo falsafa kwa maneno. Akataka afanye experiment ajue kama madai hayo ni kweli au lah. Si unajua huyu ni "Mkemia" kwahiyo kila kitu anaprove.? Akaamua kuprove kwa kuwateua walewale waliokataliwa na wananchi. Sasa ameanza kupata majibu ya "experiment" yake.
Nategemea kabla hajatoka maabara (Ikulu) specimen zifuatazo zitakuwa "zimeshareact" kwenye chemichals za "Pombe" na kuungua vibaya;
1. Godfrey Zambi – huyu alikataliwa na wananchi wa Mbozi, Wakamchagua Pascal Haonga (CHADEMA). Lakini JMP akamfanyia experiment na kumteua kuwa RC Lindi. Soon tutaona "reaction".
2. Dkt. Steven Kebwe – Huyu alikataliwa na wananchi wa Serengeti wakamchagua Mwal.Chacha Ryoba (CHADEMA), lakini JPM kuaamua kumfanyia experiment kwa kumpeleka Morogoro. Subiria "chemical reaction" soon.
3. Aggrey Mwanri – huyu alikataliwa na wananchi wa Siha na wakamchagua Dr.Godwin Mollel (CHADEMA). Lakini JPM kaamua kumtest kwa kumpa uRC Tabora. Hapa subiria "Acid-Base reaction".
4. Magesa Mulongo – huyu hakugombea popote lakini hana sifa ya uongozi. Kama umefanya nae kazi utaelewa nachosema. Ni mbabe, ana dharau, na majivuno. Alipigana na Katibu Tawala wa mkoa wa Mwanza kwenye kikao cha Kamati ya ulinzi na usalama lakini Katibu Tawala akafukuzwa kazi yeye akaachwa.
Alipopangiwa kuwa RC Mwanza alikataa nyumba aliyokua akikaa mtangulizi wake Everist Ndikilo kwa madai kuwa haina hadhi yake. Kwahiyo akaenda kupanga Capripoint kwa gharama ya Shilingi milini 7.8 kwa mwezi zilizokua zinalipwa na serikali. JPM alipoingia madarakani akaogopa kutumbuliwa akarudi kwny nyumba ile aliyoikataa na hapa ndio ukaanza ugomvi kati yake na Katibu Tawala.
Kila alipopita huyu jamaa ameacha migogoro. Arusha hawataki kumuona hata kumsikia. Huwa sielewi ilikuaje akapenya kwenye mchujo wa JPM. But haihitaji degree kujua kwamba yupo "maabara" anapimwa. Kapelekwa kwenda kuwa RC mkoa wa Mara, but very soon tegemea kusikia "Solid state reaction" kutoka Musoma.

Malisa GJ.!
 
Mwenyewe kasema wakikukataa anakuteua uwe boss wao kama alivyofanya kwa Makonda na Muhongo!! Kukataliwa na watu ni sifa kubwa kwake ili kuwakomoa waliokukataa.....

Mzee wa kukurupuka!!
 
Ikifike wakati serikali ya ccm mkubali yakuwa wananchi ni waamuzi wa mwisho kupitia sanduku
 
Tatizo la baadhi ya wapinzani nchini ni kujua sana kuandika badaya ya kufahamu matokeo ya hoja wanazoziandika.

Kuna baadhi ya vyama vya upinzani vimechagua baadhi ya walioshindwa katika majimbo ya uchaguzi kuwa wabunge wa viti maalum halafu eti kwa sasa wanatoa tahadhari kwa Rais Magufuli.

Kwa sasa eti wanataka kuonekana walitoa ushauri kwa Rais Magufuli.

Siasa za aina hii haziwezi kuwafikisha popote zaidi ya kuendelea kuwa kama wanaharakati.
 
magesa mulongo ni mjita wa musoma mara kiasili wajita ni wababe na wanajisikia.atakutana na makabila ya mkoa wa mara wakiwemo WAKURYA na koo zake zote,,WAJALUO na WAJITA Sio siri mkoa wa mara hapatoshi.tusubiri tuone,japo kaanza na mikwara mingi.
 
Alichokifanya Magufuli ni kudhibitisha madai ya muda mrefu ya vyama vya upinzani kuwa ni makosa kumteua mtu aliyekataliwa na wananchi kwa kushindwa "kudeliver".
Kutumbuliwa kwa Anne Kilango Malecela ni heshima kubwa kwa wananchi wa Same Mashariki waliomktaa kwenye sanduku la kura mwaka jana na kumchagua mama Kaboyoka (CHADEMA). Maana yake ni kwamba wanancahi wa Same Mashariki waliugundua udhaifu wa Mama Kilango kabla washauri wa Rais hawajauona.
Haiwezekani mtu aliyekataliwa na wananchi kwa kushindwa kuwajibika apewe mkoa au wilaya kuongoza. Wapinzani wamepiga kelele miaka mingi wakisema kumteua mtu aliyekataliwa na wananchi ni kuwatukana wananchi hao lakini serikali iliziba masikio.
JPM nae hakuamini hiyo falsafa kwa maneno. Akataka afanye experiment ajue kama madai hayo ni kweli au lah. Si unajua huyu ni "Mkemia" kwahiyo kila kitu anaprove.? Akaamua kuprove kwa kuwateua walewale waliokataliwa na wananchi. Sasa ameanza kupata majibu ya "experiment" yake.
Nategemea kabla hajatoka maabara (Ikulu) specimen zifuatazo zitakuwa "zimeshareact" kwenye chemichals za "Pombe" na kuungua vibaya;
1. Godfrey Zambi – huyu alikataliwa na wananchi wa Mbozi, Wakamchagua Pascal Haonga (CHADEMA). Lakini JMP akamfanyia experiment na kumteua kuwa RC Lindi. Soon tutaona "reaction".
2. Dkt. Steven Kebwe – Huyu alikataliwa na wananchi wa Serengeti wakamchagua Mwal.Chacha Ryoba (CHADEMA), lakini JPM kuaamua kumfanyia experiment kwa kumpeleka Morogoro. Subiria "chemical reaction" soon.
3. Aggrey Mwanri – huyu alikataliwa na wananchi wa Siha na wakamchagua Dr.Godwin Mollel (CHADEMA). Lakini JPM kaamua kumtest kwa kumpa uRC Tabora. Hapa subiria "Acid-Base reaction".
4. Magesa Mulongo – huyu hakugombea popote lakini hana sifa ya uongozi. Kama umefanya nae kazi utaelewa nachosema. Ni mbabe, ana dharau, na majivuno. Alipigana na Katibu Tawala wa mkoa wa Mwanza kwenye kikao cha Kamati ya ulinzi na usalama lakini Katibu Tawala akafukuzwa kazi yeye akaachwa.
Alipopangiwa kuwa RC Mwanza alikataa nyumba aliyokua akikaa mtangulizi wake Everist Ndikilo kwa madai kuwa haina hadhi yake. Kwahiyo akaenda kupanga Capripoint kwa gharama ya Shilingi milini 7.8 kwa mwezi zilizokua zinalipwa na serikali. JPM alipoingia madarakani akaogopa kutumbuliwa akarudi kwny nyumba ile aliyoikataa na hapa ndio ukaanza ugomvi kati yake na Katibu Tawala.
Kila alipopita huyu jamaa ameacha migogoro. Arusha hawataki kumuona hata kumsikia. Huwa sielewi ilikuaje akapenya kwenye mchujo wa JPM. But haihitaji degree kujua kwamba yupo "maabara" anapimwa. Kapelekwa kwenda kuwa RC mkoa wa Mara, but very soon tegemea kusikia "Solid state reaction" kutoka Musoma.

Malisa GJ.!
Mtumbueni jipu fisadi mkubwa aliyejiunga na CHADEMA mwaka jana.
Fanyeni hivyo ili tupate kuwaamini.
 
Tatizo la taifa hilo wajinga wengi

Kushabikiana kwingi

Maswala ya unajua Mimi ni nani kipindi kile cha mpito ambayo ninyi mlisema awamu ya nne kila mtu anajiita afisa usalama hahahahahahahaa

Uswahili kila kona jumlisha uvivu na kupenda njia za mkato
 
Tatizo la baadhi ya wapinzani nchini ni kujua sana kuandika badaya ya kufahamu matokeo ya hoja wanazoziandika.

Kuna baadhi ya vyama vya upinzani vimechagua baadhi ya walioshindwa katika majimbo ya uchaguzi kuwa wabunge wa viti maalum halafu eti kwa sasa wanatoa tahadhari kwa Rais Magufuli.

Kwa sasa eti wanataka kuonekana walitoa ushauri kwa Rais Magufuli.

Siasa za aina hii haziwezi kuwafikisha popote zaidi ya kuendelea kuwa kama wanaharakati.

You dispense 'kuntu' tupu ndani ya jukwaa hili.

In your write-ups, there is always an authentic reflection between your nick and avatar!

Long live mkuu
 
Hata lowasa alikataliwa ccm, akaenda chadema akaonekana nuru, jiwe kuu la msingi, kweli nyani haoni kundule
 
Hahahaaa mkuu wewe ni catalyst - a substance that increases the rate of a chemical reaction without itself undergoing any permanent chemical change
 
Back
Top Bottom