Alichofanya Joseph Fritzl, hata shetani asingethubutu

Sio ajabu nyakati za mwisho utamkuta huyu mzee "high table " amekaa karibu na Mungu.
Huweezi jua maana biblia inasema Mungu anaangalia mwisho wako na sio mwanzo, ila kwa huyu mwamba sidhani kama atatoboa, mimi SIO MUNGU lakini
 
Wakili alijua VYOVYOTE VILE lazima mteja wake angefungwa miaka mingi jela kama siyo maisha; who in the world would not attempt kusekyua mali zileee given huyo jahili jambawazi alikuwa very rich!??? Usisahau kuwa uwakili ni ajira kama ajira zingine zitambulikazo kisheria, sawa!???
Sawa lakini Ni ajira za kutetea uovu wakati mwingine. Sikatai mawakili Ni muhimu ila wako 80/20 namaanisha asilimia kubwa wanatetea uovu.

Mtu Najua kaiba au kaua kabisa ila anajitutumua kutafuta wakili was kumtetea kwa pamoja wanapanga utetezi wa uongo na sababu nyingi plus visingizio ili waonekane hawana makosa.
 
Wewe unaongea opinions ambazo oviazli ni pesono. Sheria inasema: ^Evri wan iz inosent antil pruven gilt^ ^The impriketing' evidens mast bi beyond rizonabo daut^
 
Sawa lakini Ni ajira za kutetea uovu wakati mwingine. Sikatai mawakili Ni muhimu ila wako 80/20 namaanisha asilimia kubwa wanatetea uovu.

Mtu Najua kaiba au kaua kabisa ila anajitutumua kutafuta wakili was kumtetea kwa pamoja wanapanga utetezi wa uongo na sababu nyingi plus visingizio ili waonekane hawana makosa.
Mahakamani hamna "haki" ni ushahidi, process na procedure. Unayeshitaki ukikosea tu, mtu anatoboa

Haki iko kwa Mungu
 
Austria ina binadamu wana roho ngumu aisee hata Adolf Hitler katokea kainchi hako hako ni kama ka tawi ka Ugerman hivi kanatoa watu wenye sampuli za ukatili uliopitiliza kutokana na historia yake ya nyuma.

Inasikitisha sana aisee daaa!
Kwa hiyo ndio maana Tanzania inatoa watu mrenda mrenda kwa sababu ya historia yake?

Historia yetu mdebwedo sana aisee
 
Kwa hiyo ndio maana Tanzania inatoa watu mrenda mrenda kwa sababu ya historia yake?

Historia yetu mdebwedo sana aisee
Haaaha inawezekana sasa kama mwarabu mmoja alichukua watumwa mateka 100 kutoka ujiji kigoma mbaka Bwagamoyo we unadhani kihistoria si tulikua wanyonge ? mbaka Leo awamu ya tano wanyonge tupo

nadanganya wadau?
 
Mara nyingi wahanga wa mambo haya huwa hawawezi kukaa mbali na watesi wao, hata wakiokolewa wengine baada ya muda utoroka kurudi kwa mtesi wake...so uko sahihi.
Refer kwenye mahusiano, mtu anateswa hasa, anashauriwa aachane na huo uhusiano lakini anakataa kuwa ni bora ateswe tu kuliko kukaa mbali na mtu wake, hata akiondoka mara nyingi anarudi anaona bora hivo.
yes na hii ni principal ya mwili wa binadamu ambayo inatawaliwa na mind set... yawezekana hata dingi asiposhuka shimoni kwa siku mbili tatu bby (Eliza) alikuwa anam-miss...who knows !!
 
Back
Top Bottom