Alichofanya anakijua na ndo maana hatarudi Tanzania

Hivi jamani mwili wa binadamu unaweza ukabeba risasi 16 kwa akili ya kawaida maana ninavyojua jua risasi ina sehemu kuu tatu ina kichwa ambacho kimechongoka pia ina umbo LA laki ambayo hubeba baruti halafu kasha LA nyuma ambayo risasi ikitoka huwa linabaki xaxa lile umbo LA kati huwa linabaruti ambayo asilimia kubwa ndio huleta madhara kwenye mwili xaxa hizo 16 inakuwaje jamanii naombeni mtu anifafanulie vizuri zaidi inakuwaje hapo 16

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda Risasi za kuulia ndege.
Hii picha hapa chini ina ujumbe mzito
FB_IMG_1534703694017.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichofanya alidhani kitabaki sirini.serikali Ni kubwa na Ina uwezo wa kupata taarifa nyingi.tusingekupiga bure unafki uliofanya umekupelekea kufanywa kile ulichofanywa.serikali hatuonei mtu Bali mtu anajigonga mwenyewe na kwa kuwa ulidhani hii awamu Ni Kama zile nyingine pole sana.nawasihi wananchi kwa ujumla zingatieni Sana sheria pendeni kuishi kwa uhalali.serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke ili amani iwepo.hata historia tu inaonyesha harakati ambazo serikali nyingi imezipitia wakati mwingine baadhi ya watu hutolewa ili kuokoa wengi .yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.baki hukohuko lakini tambua duniani maisha ya mtu hayana thamani mbele ya mustakabali wa serikali za watu.hata hao wazungu wameshauana Sana mpaka kufika Hapo walipo.eti Kuna watu wanajidanganya kuwa Rais hapati usingizi kwa hizi ziara.acheni kujidanganya anayeona aibu Ni yeye aliye huko nchi za magharibi na sio serikali.umewahi kusikia wapi serikali imetishwa na mtu mmoja.come on men!wake up!
hakika mtu mmoja tena ni tobo tayari hawezi kamwe kuitisha serikali
 
Duniani kote mtu msaliti huwa anajiweka katika mazingira ya hatari. Malcom X aliitwa msaliti/mnafiki, kilichomfuata ni kupigwa risasi 17 kifuani mwake.

Unapoisaliti nchi kwa sababu tu ya malipo ya fedha, unajiweka kwenye hatari mbaya sana. Dunia nzima wasaliti hukutwa na mabaya.
 
Nchi ikiwa kwenye mchakato wa kupata ndege nyingine wewe unawaambia wanaotudai wazuie ndege mpaka deni lao lilipwe.Yaani unataka nchi ambayo Baba na Mama yako wamezaliwa, ishindwe kwenye mipango yake ya maendeleo!!, huo ni zaidi ya usaliti.

Kasahau kuwa serikali ni taasisi kubwa sana, ndege ikaja bongo na zinakuja nyingine, na rada zinafungwa na mambo yanaendelea kama kawaida.
 
Lissu yuko hai baada ya jaribio la joni kutaka kumuua Lissu kufeli

Risasi 16 kupenya ndani ya mwili ni muujiza wa hali ya juu sana

Hakika Mungu yu upande wa wenye haki

Wauaji wanashangaa tu namna Lissu alivyo na tabasamu muda wote, huku wauaji wakizidi kuzeeka tu sura zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu hapo ni comedy tu
ndiyo maana wanakimbiakimbia yeye na dereva wake
Risasi 16, alafu SMG, zinapigwa kushoto lakini hakuna madhara badala yake zinapinda kulia! 😀
 
Sijawahi kumuamini mwanasiasa, Lissu hauaminiki japo una alama ya risasi 16 lakin kwa uhalisia kuna mengi watu hawajui juu ya Nia yako

Ila walio taka kumuua ndo unawaamini? Njia pakee ya kupambana na Lisu ni kumjibu kwa hoja yale yote anayo demand sasa nyie endeleeni kuwategemea wakina Musukuma na wakina Kibajaji ndo wamjibu Lisu
 
Nchi ikiwa kwenye mchakato wa kupata ndege nyingine wewe unawaambia wanaotudai wazuie ndege mpaka deni lao lilipwe.Yaani unataka nchi ambayo Baba na Mama yako wamezaliwa, ishindwe kwenye mipango yake ya maendeleo!!, huo ni zaidi ya usaliti.

Kasahau kuwa serikali ni taasisi kubwa sana, ndege ikaja bongo na zinakuja nyingine, na rada zinafungwa na mambo yanaendelea kama kawaida.

Hiyo ndege usha wahi hata kuipanda? Make ukoo wenu labda mkiitisha harambee mnaweza pata pesa ya mmoja wenu kuipanda hadi Mwanza
 
Hiyo ndege usha wahi hata kuipanda? Make ukoo wenu labda mkiitisha harambee mnaweza pata pesa ya mmoja wenu kuipanda hadi Mwanza
Mkuu MURUSI, mimi nilikuja Dar mwaka 1978 nikiwa ndani ya ndege kutoka Mwanza, enzi zile za uwanja ule wa zamani wakati huo huu wa sasa ulikuwa bado haujajengwa.
 
Sijawahi kumuamini mwanasiasa, Lissu hauaminiki japo una alama ya risasi 16 lakin kwa uhalisia kuna mengi watu hawajui juu ya Nia yako
Umerudi Kwa nguvu sana kupitia hili la lisu,hamna lolote maccm na serikali,huyu bwana maswali yake ya msingi mnashindwaje kujibu mnaishia kumshambulia binafsi?jibuni maswali yake sio anachafua nchi anatukana viongozi.m matusi gani hayo mapya ambaye wengine tunashindwa kuyatambua" kama matusi".
 
Unatumika kama tissue kwenye tundu la hewa chafu....madaraka ni ya muda tu....ww unafikiri kuwa karbu na hyo nyago jiwe ndio kuwa na uhakika ya maisha yako ya keshooo!! aliyekuzaa bora angetumimia P2 au angepuliga nyeto.
 
Du! Mkuu umefunguka kwa kauli yenye maamlaka. Pamoja na yote,Turudi kiroho,hata endapo itabidi mzazi hakati mkono wake kwa kinyesi cha mwanae. Kiburi cha madaraka kitapita Tanzania itakuwepo daima. Tuache alama za hekima,ustaarabu na utu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uongozi ulioshindwa ndio hufanya hivyo. Usaliti mkubwa kwa nchi ni uhaini. Lakini hapa kwetu Tanzania watu waliopata kuthibitika mahakamani kushiriki uhaini tupo nao mitaani tunajenga nchi yetu. Wengine wanazo nafasi nzuri tu kwenye jamii! Mwenye macho na atazame; uongozi siyo mdundiko!
 
Naipenda sana Tanzania nchi yangu, na napenda matumizi ya rasimali kwa maslahi mapana ya nchi yetu. CCM kindaki ndaki, shabiki mzuri wa mwenyekiti wangu.

ILA Nashindwa kujua usaliti wa LISSU ni upi? Uko ktk lipi? Kama ni msaliti kwa nini mnaficha huo usaliti wake?

Hivi Lissu wa leo, je ni tofauti na LISSU aliyeanzisha harakati za kudai haki na usawa ktk miktaba ya madini tangu late 2000s?

Hiyo professorial report ya madini/makinikia ilikuwa na kipi kipya na unique tofauti na report za akina Lissu?

Huu ubatizo wenye jina la "msaliti" hautimiliki hata kwa maji na moto. Tutafute lingine.
Hivi kwa akili zako kitendo anachofanya Lissu cha kuzunguuka dunia nzima na kuitukana serikali ni sahihi kweli?Tuamini kabisa kwamba Lissu hajui conspiracy zinazofanywa na nchi za magharibi ikiwemo Marekani,ili tuendelee kuwa tegemezi kwao na leo eti yuko upande wao?Hii hai-prove
kwamba ni mmoja wao na ni msaliti?What extra proof do you need kwamba Lissu ni msaliti.Lissu anaudhi na hafai.

Haijalishi serikali yako imefanya nini,you can't be on the side of your saboteurs.
 
Mnaimba kama kasuku, mara usaliti mara uhaini, mara ametumwa na mabeberu.... Mkiulizwa elezeeni huo usaliti au uhaini mnabaki mmekodoa mimacho kama yule bundi aliyetua bungeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi na ujinga wangu siamini kwamba mtu au watu wanaweza kufanya alichofanyiwa Lissu out of nothing.Ni mwehu tu anayeweza kufanya hivyo.

Mwisho wewe huhitaji kujua usaliti wake,yeye anaujua.
 
kiufupi jiwe hatobaki salaam kwa kunisaliti mtanzania
Amekusaliti kwa kuwa umo katika moja ya makundi yafuatayo.

1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao

Labda pia upo kwenye makundi yafuatayo.Pole sana.
i)vijana wasio na ajira.
ii)viongozi waliokuwa wanafaidi mipesa ya mafisadi iliyokuwa inamwagwa CCM na pia wababaishaji na wasio na weledi CCM.Hawa hawana uhakika wa maisha yao kwa kuwa wana wasi wasi huenda siku moja wataenguliwa.
iii)wafanyakazi wa serikali kwa vile a)hawajaongezewa mishahara
b)hawataki uhakiki wa watumishi.
c)marupurupu na mikakati yao ovu ya kuiibia serikali imekatiliwa mbali.
d)serikali inataka weledi na uwajibikaji wa hali ya juu.
 
Alichofanya alidhani kitabaki sirini.serikali Ni kubwa na Ina uwezo wa kupata taarifa nyingi.tusingekupiga bure unafki uliofanya umekupelekea kufanywa kile ulichofanywa.serikali hatuonei mtu Bali mtu anajigonga mwenyewe na kwa kuwa ulidhani hii awamu Ni Kama zile nyingine pole sana.nawasihi wananchi kwa ujumla zingatieni Sana sheria pendeni kuishi kwa uhalali.serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke ili amani iwepo.hata historia tu inaonyesha harakati ambazo serikali nyingi imezipitia wakati mwingine baadhi ya watu hutolewa ili kuokoa wengi .yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.baki hukohuko lakini tambua duniani maisha ya mtu hayana thamani mbele ya mustakabali wa serikali za watu.hata hao wazungu wameshauana Sana mpaka kufika Hapo walipo.eti Kuna watu wanajidanganya kuwa Rais hapati usingizi kwa hizi ziara.acheni kujidanganya anayeona aibu Ni yeye aliye huko nchi za magharibi na sio serikali.umewahi kusikia wapi serikali imetishwa na mtu mmoja.come on men!wake up!
Nimesoma mpaka ulipoandika "serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke" nikabaini wewe ni punguani halafu hata kuandika hujui.
What a waste of space.
 
Back
Top Bottom