Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,495
- 51,090
Kama ACACIA ni wabaya mbona bado wapo na wanabeba dhahabu kama kawa?.
Mmeruhusu wezi waendelee kutuibia?
Mmeruhusu wezi waendelee kutuibia?
Labda Risasi za kuulia ndege.Hivi jamani mwili wa binadamu unaweza ukabeba risasi 16 kwa akili ya kawaida maana ninavyojua jua risasi ina sehemu kuu tatu ina kichwa ambacho kimechongoka pia ina umbo LA laki ambayo hubeba baruti halafu kasha LA nyuma ambayo risasi ikitoka huwa linabaki xaxa lile umbo LA kati huwa linabaruti ambayo asilimia kubwa ndio huleta madhara kwenye mwili xaxa hizo 16 inakuwaje jamanii naombeni mtu anifafanulie vizuri zaidi inakuwaje hapo 16
Sent using Jamii Forums mobile app
Povu, matusi Ruksa.Labda Risasi za kuulia ndege.
Hii picha hapa chini ina ujumbe mzitoView attachment 1019586
Sent using Jamii Forums mobile app
hakika mtu mmoja tena ni tobo tayari hawezi kamwe kuitisha serikaliAlichofanya alidhani kitabaki sirini.serikali Ni kubwa na Ina uwezo wa kupata taarifa nyingi.tusingekupiga bure unafki uliofanya umekupelekea kufanywa kile ulichofanywa.serikali hatuonei mtu Bali mtu anajigonga mwenyewe na kwa kuwa ulidhani hii awamu Ni Kama zile nyingine pole sana.nawasihi wananchi kwa ujumla zingatieni Sana sheria pendeni kuishi kwa uhalali.serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke ili amani iwepo.hata historia tu inaonyesha harakati ambazo serikali nyingi imezipitia wakati mwingine baadhi ya watu hutolewa ili kuokoa wengi .yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.baki hukohuko lakini tambua duniani maisha ya mtu hayana thamani mbele ya mustakabali wa serikali za watu.hata hao wazungu wameshauana Sana mpaka kufika Hapo walipo.eti Kuna watu wanajidanganya kuwa Rais hapati usingizi kwa hizi ziara.acheni kujidanganya anayeona aibu Ni yeye aliye huko nchi za magharibi na sio serikali.umewahi kusikia wapi serikali imetishwa na mtu mmoja.come on men!wake up!
Duniani kote mtu msaliti huwa anajiweka katika mazingira ya hatari. Malcom X aliitwa msaliti/mnafiki, kilichomfuata ni kupigwa risasi 17 kifuani mwake.Alichofanya alidhani kitabaki sirini.serikali Ni kubwa na Ina uwezo wa kupata taarifa nyingi.tusingekupiga bure unafki uliofanya umekupelekea kufanywa kile ulichofanywa.serikali hatuonei mtu Bali mtu anajigonga mwenyewe na kwa kuwa ulidhani hii awamu Ni Kama zile nyingine pole sana.nawasihi wananchi kwa ujumla zingatieni Sana sheria pendeni kuishi kwa uhalali.serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke ili amani iwepo.hata historia tu inaonyesha harakati ambazo serikali nyingi imezipitia wakati mwingine baadhi ya watu hutolewa ili kuokoa wengi .yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.baki hukohuko lakini tambua duniani maisha ya mtu hayana thamani mbele ya mustakabali wa serikali za watu.hata hao wazungu wameshauana Sana mpaka kufika Hapo walipo.eti Kuna watu wanajidanganya kuwa Rais hapati usingizi kwa hizi ziara.acheni kujidanganya anayeona aibu Ni yeye aliye huko nchi za magharibi na sio serikali.umewahi kusikia wapi serikali imetishwa na mtu mmoja.come on men!wake up!
Wamarekani ndio wabaya zaidi, huwa hawamuachi msaliti.Serikali za dunia ndivyo zilivyo,hata Wamarekani anaowalamba miguu ndivyo walivyo.Who ever thinks otherwise is cheating himself. Huwezi kusaliti ukabaki salama.
Hakuna kitu hapo ni comedy tuLissu yuko hai baada ya jaribio la joni kutaka kumuua Lissu kufeli
Risasi 16 kupenya ndani ya mwili ni muujiza wa hali ya juu sana
Hakika Mungu yu upande wa wenye haki
Wauaji wanashangaa tu namna Lissu alivyo na tabasamu muda wote, huku wauaji wakizidi kuzeeka tu sura zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kumuamini mwanasiasa, Lissu hauaminiki japo una alama ya risasi 16 lakin kwa uhalisia kuna mengi watu hawajui juu ya Nia yako
Nchi ikiwa kwenye mchakato wa kupata ndege nyingine wewe unawaambia wanaotudai wazuie ndege mpaka deni lao lilipwe.Yaani unataka nchi ambayo Baba na Mama yako wamezaliwa, ishindwe kwenye mipango yake ya maendeleo!!, huo ni zaidi ya usaliti.
Kasahau kuwa serikali ni taasisi kubwa sana, ndege ikaja bongo na zinakuja nyingine, na rada zinafungwa na mambo yanaendelea kama kawaida.
Mkuu MURUSI, mimi nilikuja Dar mwaka 1978 nikiwa ndani ya ndege kutoka Mwanza, enzi zile za uwanja ule wa zamani wakati huo huu wa sasa ulikuwa bado haujajengwa.Hiyo ndege usha wahi hata kuipanda? Make ukoo wenu labda mkiitisha harambee mnaweza pata pesa ya mmoja wenu kuipanda hadi Mwanza
Umerudi Kwa nguvu sana kupitia hili la lisu,hamna lolote maccm na serikali,huyu bwana maswali yake ya msingi mnashindwaje kujibu mnaishia kumshambulia binafsi?jibuni maswali yake sio anachafua nchi anatukana viongozi.m matusi gani hayo mapya ambaye wengine tunashindwa kuyatambua" kama matusi".Sijawahi kumuamini mwanasiasa, Lissu hauaminiki japo una alama ya risasi 16 lakin kwa uhalisia kuna mengi watu hawajui juu ya Nia yako
Du! Mkuu umefunguka kwa kauli yenye maamlaka. Pamoja na yote,Turudi kiroho,hata endapo itabidi mzazi hakati mkono wake kwa kinyesi cha mwanae. Kiburi cha madaraka kitapita Tanzania itakuwepo daima. Tuache alama za hekima,ustaarabu na utu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa akili zako kitendo anachofanya Lissu cha kuzunguuka dunia nzima na kuitukana serikali ni sahihi kweli?Tuamini kabisa kwamba Lissu hajui conspiracy zinazofanywa na nchi za magharibi ikiwemo Marekani,ili tuendelee kuwa tegemezi kwao na leo eti yuko upande wao?Hii hai-proveNaipenda sana Tanzania nchi yangu, na napenda matumizi ya rasimali kwa maslahi mapana ya nchi yetu. CCM kindaki ndaki, shabiki mzuri wa mwenyekiti wangu.
ILA Nashindwa kujua usaliti wa LISSU ni upi? Uko ktk lipi? Kama ni msaliti kwa nini mnaficha huo usaliti wake?
Hivi Lissu wa leo, je ni tofauti na LISSU aliyeanzisha harakati za kudai haki na usawa ktk miktaba ya madini tangu late 2000s?
Hiyo professorial report ya madini/makinikia ilikuwa na kipi kipya na unique tofauti na report za akina Lissu?
Huu ubatizo wenye jina la "msaliti" hautimiliki hata kwa maji na moto. Tutafute lingine.
Mimi na ujinga wangu siamini kwamba mtu au watu wanaweza kufanya alichofanyiwa Lissu out of nothing.Ni mwehu tu anayeweza kufanya hivyo.Mnaimba kama kasuku, mara usaliti mara uhaini, mara ametumwa na mabeberu.... Mkiulizwa elezeeni huo usaliti au uhaini mnabaki mmekodoa mimacho kama yule bundi aliyetua bungeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekusaliti kwa kuwa umo katika moja ya makundi yafuatayo.kiufupi jiwe hatobaki salaam kwa kunisaliti mtanzania
Nimesoma mpaka ulipoandika "serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke" nikabaini wewe ni punguani halafu hata kuandika hujui.Alichofanya alidhani kitabaki sirini.serikali Ni kubwa na Ina uwezo wa kupata taarifa nyingi.tusingekupiga bure unafki uliofanya umekupelekea kufanywa kile ulichofanywa.serikali hatuonei mtu Bali mtu anajigonga mwenyewe na kwa kuwa ulidhani hii awamu Ni Kama zile nyingine pole sana.nawasihi wananchi kwa ujumla zingatieni Sana sheria pendeni kuishi kwa uhalali.serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke ili amani iwepo.hata historia tu inaonyesha harakati ambazo serikali nyingi imezipitia wakati mwingine baadhi ya watu hutolewa ili kuokoa wengi .yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.baki hukohuko lakini tambua duniani maisha ya mtu hayana thamani mbele ya mustakabali wa serikali za watu.hata hao wazungu wameshauana Sana mpaka kufika Hapo walipo.eti Kuna watu wanajidanganya kuwa Rais hapati usingizi kwa hizi ziara.acheni kujidanganya anayeona aibu Ni yeye aliye huko nchi za magharibi na sio serikali.umewahi kusikia wapi serikali imetishwa na mtu mmoja.come on men!wake up!