busara kwanza
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 239
- 109
Aliwazidi uwezo ndo maana mkaamua kumuua Lakin akapona kwa muujiza sasa mtamzidi wap tena na ameamua kama mbwai na iwe mbwai na nyie amueni moja watu went tupo Gagarin kwa chochote tumechokaNa ndiyo maana yeye Mh. Lissu anajua kabisa kinachombakibili akirejea Tanzania. Hata kama atajitoa akili, ila lazima sasa hivi mapigo ya moyo yanaenda mbio mbio.