Alichofanikiwa bwana Bashir Ally ni kununua wapinzani

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,013
Huyu bwana anajiita mjamaa.
Ni mwalimu wetu wa sayansi ya siasa pale UDSM (Najisikia soni,kusema nimepita mikononi mwake).

Akighani mashairi pale Nkuruma tulipokuwa tukikutana wajamaa tusiovaa Scarf kama wafanyavyo kina Mwigulu na Lugola ( poleni sana wazee wangu Ulimwengu na Shivj mlomwamini bwana Bashiru kama mwana wa Afrika kumbe mchumia tumbo) akijinasibu kama mjamaa japo sio kweli.

Bwana Bashir hana kipande anachoweza kujivunia hapo Lumumba, amekuwa mnafiki kuliko hata kina Mukama, Makamba na Kinana ambao hawajasoma hiyo siasa yenyewe.

Mtu aitwe oil chafu juzi hapa, leo Anaambiwa amerudi nyumbani? Dr. Bashiru Ally ni kichefuchefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ni mikakati ya ushindi na juu ya kupanga mikakati Dkt. Bashiru Nampa kongole, mengine yote ni maumivu wanayopata wapinzani kwa mikakati mizito ya Ndg.Bashiru
 
Mkuu siasa ni fursa kama zilivyo nyingine, kila kitu kinawezekana. Kila mtu anatafuta fursa ili watoto waende chooni.

Huyo Bashiru unayemsema kwamba sio mjamaa kama anavyojinasibu ikifika mwisho wa mwezi anaingiza mamilioni ya shilingi na anahudumiwa kila kitu na CCM.
 
makes a lot of sense..
Hata walionunuliwa wamebadilisha maisha yao kwa kipato walichopewa... FULSA
Mkuu siasa ni fursa kama zilivyo nyingine, kila kitu kinawezekana. Kila mtu anatafuta fursa ili watoto waende chooni.

Huyo Bashiru unayemsema kwamba sio mjamaa kama anavyojinasibu ikifika mwisho wa mwezi anaingiza mamilioni ya shilingi na anahudumiwa kila kitu na CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana anajiita mjamaa.
Ni mwalimu wetu wa sayansi ya siasa pale UDSM (Najisikia soni,kusema nimepita mikononi mwake).

Akighani mashairi pale Nkuruma tulipokuwa tukikutana wajamaa tusiovaa Scarf kama wafanyavyo kina Mwigulu na Lugola ( poleni sana wazee wangu Ulimwengu na Shivj mlomwamini bwana Bashiru kama mwana wa Afrika kumbe mchumia tumbo) akijinasibu kama mjamaa japo sio kweli.

Bwana Bashir hana kipande anachoweza kujivunia hapo Lumumba, amekuwa mnafiki kuliko hata kina Mukama, Makamba na Kinana ambao hawajasoma hiyo siasa yenyewe.

Mtu aitwe oil chafu juzi hapa, leo Anaambiwa amerudi nyumbani? Dr. Bashiru Ally ni kichefuchefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapinzani ambao hawawezi kupigiwa kura za kutosha km watu watajitokeza kwa wingi. mkisusa kupiga kura watapigiwa upande wa pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili wanasema kuzaa siyo kupata na mimi nasema hiviii kusoma siyo kuelimika vinginevyo tusingeshuhudia huu upuuzi
FB_IMG_1573956529213.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hata kama alikuwa mwalimu wa siasa UD, sasa amefika huko chamani anajikuta anatekeleza maagizo ya kamati zilizojaa wajumbe vilaza, ndio maana na yeye anaonekana kilaza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswaheli wanasema funika kombe mwanakharam apite
Huyu bwana anajiita mjamaa.
Ni mwalimu wetu wa sayansi ya siasa pale UDSM (Najisikia soni,kusema nimepita mikononi mwake).

Akighani mashairi pale Nkuruma tulipokuwa tukikutana wajamaa tusiovaa Scarf kama wafanyavyo kina Mwigulu na Lugola ( poleni sana wazee wangu Ulimwengu na Shivj mlomwamini bwana Bashiru kama mwana wa Afrika kumbe mchumia tumbo) akijinasibu kama mjamaa japo sio kweli.

Bwana Bashir hana kipande anachoweza kujivunia hapo Lumumba, amekuwa mnafiki kuliko hata kina Mukama, Makamba na Kinana ambao hawajasoma hiyo siasa yenyewe.

Mtu aitwe oil chafu juzi hapa, leo Anaambiwa amerudi nyumbani? Dr. Bashiru Ally ni kichefuchefu

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom