Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,955
- 22,133
Alianza babu wa loliondo watu wakakimbia na kupanda ndege kadhaa wakubwa kwa watoto leo hii magazeti waanasema aitib,,wakaja wabunge wetu wakaanza a vichekesho kujibishana ovyo na hata kufikiria kupigana sasa limekuja hili
la swala la samaki wenye sumu ambao walipitishwa kwa vibali vyo te na wizara husika hususan tfda ambao ati jana wanadai wameanza uchunguzi kumbe uchunguzi unafanyika baada ya watu kufa ama ni ile mambo yetu ya 10%
najiuliza nini kinafwata kwenye serikali hii ya kikwete??