Aliahirisha mwaka wa masomo lakini ameenda chuo na kukuta ana SUPP za kutosha

Udom sio chuo ni upuuzi tu..mdogo wangu anasoma pale ana supp. naangalia course work ya somo lake kapata D.na UE kapata D .dogo akapata Supp,cha ajabu matokeo ya Supp kapata E hadi amecarry somo kwamba mtihani huohuo kapata alama ndogo zaidi kuliko hata course work. Udom wanazalisha vijana wengi sana vilaza
Hiyo D ya course work ndo ngapi? Course work inabeba 40% ya max zote. So hiyo D imekujaje? Ukienda SR matokeo yako unayoyaona maana yake ni wamechukua max za UE (hazizidi 60%) plus course work (40%) ndo unapata tokeo lako. So umejuaje kama UE amepata D? Maana hayatolewagi yale..! Mkuu kama hivi mambo huzijui kaa kimya. Unajidhalilisha bure.
 
Huyo jamaa haelewi anachokiandika humu ukisoma alichokiandika Unaweza kabisa kumtambua Kama mtu ambaye hata elimu yake bado ndogo sana na anaufahamu mdogo Sana na mambo ya chuo
So tuwaachen tu waropoke watakavyo
Kwa sababu mtu anakwambia UDOM si chuo wakat huo anakwambia mdogo wake yuko pale? Sasa Kama analijua hilo kwamba kile s chuo kwann asingempeleka mdogo wake kwenye vyuo avijuavyo??
Serious wabongo tunapendaga sana kusema hata Kama tunachokiongelea hatuna details za kutosha kukihusu.
Wanakela bas tu.
 
Udom sio chuo ni upuuzi tu..mdogo wangu anasoma pale ana supp. naangalia course work ya somo lake kapata D.na UE kapata D .dogo akapata Supp,cha ajabu matokeo ya Supp kapata E hadi amecarry somo kwamba mtihani huohuo kapata alama ndogo zaidi kuliko hata course work. Udom wanazalisha vijana wengi sana vilaza
Umeandika unachokijua mkuu lakin s kitu ambacho kipo chuon.
Je ulitaka mdogo wako afanye sup na hajasoma apate A au B au ulitaka apate nn
Sup akifaulu alitakiwa awe na C lakn kuwa na E maana yake kashindwa na Amecarry. Sasa wewe endelea na ushabiki wa kishamba huku huna chochote cha kuandika, elimu yako ndogo sana mkuu
 
Chuo cha kata hiko kwa hiyo si ajabu kukumbana na mambo kama hayo.
Hbr wapendwa.Natumaini mko salama na wagonjwa Mungu awape wepesi na mpone haraka.

Niende kwenye Mada....

Kuna rafiki yangu alichaguliwa UDOM mwaka kozi BED IN ADMINISTRATION AND MANAGEMENT.
Bahati mbaya kazini akakosa ruhusa ikambidi aende UDOM kuahirisha na akakubaliwa.

Mwaka huu jana kaenda UDOM KURESUME nafasi yake ya mwaka jana ili aahirishe tena aende kusoma mwakani kwa sababu na mwaka huu pia ruhusa kakosa kazini.

Baada ya kufika UDOM nakufungua taarifa zake wakakuta amejaziwa SUPP za kutosha hali iliyozua taharuki.
Ikabidi ahoji imekuwaje hajawahi kusoma wala kuingia darasani hizo Supp zimetoka wapi??

Wahusika wa UDOM hawakumjibu zaidi wote waliangua KICHEKO na kumwambia labda ni mtandao.

Hata wao pia walishangaa.

Katika hali kama hii mimi binafsi nimeona ni jinsi gani vyuon watu wanapewa matokeo yasiyo yao au walimu hawasahihishi kwa umakini.

Mtu hajaingia darasani ila kapewa supp ni haki hiyo.

Ni picha tosha kuwa umakini wa walimu kujaza taarifa za wanafunzi vyuoni ni mdogo sana.

CHUO KAMA UDOM KUFANYA JAMBO KAMA HILO NI AIBU.

NB.sijuwi supp hiyo wataifuta au akija kuanza chuo ataanza nayo kwanza kuichomoa hata yeye hajuw jambo la msingi tu ameahirisha atakwenda kusoma rasmi mwakani.

Nawasilisha.
 
Hivi vitu vina history, UDOM ilikuwa inachukua wanafunzi wa div III! Vyuo nilivyovitaja wanafunzi wake walikuwa ni Div1 and some few Div2. Hata sasa UDSM bado hawachukui Div 3. Actually UDSM wanachukua Div 1. Hapo utatoa product nzuri kwa elimu ya Tanzania kama ulivyosema.

Mara nyingi jamii forum imejaa usanii

mtu anakwambia ana experience ya miaka 30 then anabishana na vijana humu kuhusu mambo ya vyuo?
ktk hali ya kawaida, mtu mwenye experience ya miaka 30 ana zaidi ya umri wa miaka 50 kwa historia ya taifa letu.

Sitegemei mtu huyu aandike matusi wala current issue.

lkn ndugu zangu, UDOM ni chuo kinachoelimisha zaidi ya 40% ya vijana wasomi kwasasa hivyo kama chuo n mibovu basi TZ nzima n mbovu.

UDOM ipo nafasi ya 2 kati ya 32 Universities kwa ubora TZ hivyo kama ni mbovu basi TZ nzima n mbovu.

UDOM inatumia 60% ya staffs waliosoma vyuo vingine TZ kwa sasa hivyo kama ni mbovu basi TZ nzima n mbovu.

ushauri wangu,

kuna watu wana ushabiki wa vyuo na kwasasa udom na udsm zinakua kama simba na yanga.
ndio maana hata system errors ikitokea inachukuliwa kama kasoro kubwa ya chuo.

hili swala la supp ya aliye-postpone n swala la system tu na normally sio supp n To-Supp.
wala hii haina uhusiano na ubora wa chuo.

niwashauri wanafunzi wa udom,
msihangaike sana na watu wa mitandaoni.
pigeni kitabu,
ubora wa elimu mnayoipata hautapimwa kwa chuo mlichosoma Bali kwa mchango wenu kwa familia zenu na jamii kwa ujumla,
someni na mjifunze kuzisaidia familia zenu, huu usanii wa hawa jamaa wa humu uacheni, acheni watukane lkn c ajabu kadri wanavyotukana ndivyo chuo kinapanda rank.

Watz tubadilike
 
Umeongea point mkuu
Big up
 
Hivi vitu vina history, UDOM ilikuwa inachukua wanafunzi wa div III! Vyuo nilivyovitaja wanafunzi wake walikuwa ni Div1 and some few Div2. Hata sasa UDSM bado hawachukui Div 3. Actually UDSM wanachukua Div 1. Hapo utatoa product nzuri kwa elimu ya Tanzania kama ulivyosema.
Udsm hamna div III?..how sure you are??
 
Very wonderful!!!

yan RESEARCH INSTITUTION inasimamia UNIVERSITY?
Aisee kweli hii bongo,

yan Taasisi ya utafiti isimamie walimu na wanafunzi wa Chuo Kikuu.

Tena anayesimamia ni mtu mmoja kwa miaka 30.

Alafu akawaases wanafunzi na walimu wa UDOM kwa miaka 30 ikiwa UDOM ina miaka 11 ya kuanzishwa kwake.

Mpendwa nataman kuijua hiyo research institution yenye miaka 30 Tz.
na inayosimamia walimu na wanafunzi wa chuo kikuu.

Alafu mtu anayesema hayo nae anatoa hoja kusema UDOM mbovu,
mpendwa; UDOM is the home of intellectuals hayo unayoyaandika utawadanganya watoto wa primary na wenye elimu kama yako.

Speak only when your words are more important than your silence
 
Back
Top Bottom