- Thread starter
- #41
Hii ni nyepesi nyepesi.Nyeti mpya nimezipata sasa hivi "Cash machine" kwenye miradi yake mingi kama sio yote ni YOWERI KAGUTA MUSEVENI.....mwenyewe anabisha atokee.Hizi ni nyeti za ndani kabisa na nizamotomoto hata hazijapoa bado.
sijui ni wabongo wangapi wanaamini mtu anaweza kufanikiwa kwa juhudi yake bila ujanja-ujanaja?