Ali Mufuruki akerwa na uonevu unaofanywa na wenye mamlaka

Kwahiyo Magufuli as President and the CCM in particular made the TRA do the raid?
 
Dangote kasema.
sasa Mufuruki.
most likely atafuatia Mengi.
na wengine na wengine.
who knows, labda na Polepole tutaja kumsikia atakapokorofishana na bosi wake!

Katika ramli yangu chonganishi namuona mzee mmoja mwenye kipara na sio siku nyingi alipata mapacha ndiye anafuata kwenye list. Hata awape air time masaa 12 haachwi. Tunataka muishi ka mashetwani
 
When the table turns upside down u start crying 4getting ua contribution to the problem...!
 
Raisi alivyokuwa anachekelea Leo alivyosikia kuna $300m ziko njiani yaani na matumizi yalimjia kichwani papo hapo tena anahimiza zije haraka.

On the other hand, wafanyabiashara kama hawa ndio walipa kodi kila siku kwanini haoni kama TRA ina tatizo hata Mwijage keshachoka. Majuzi kasema japo kwa mafumbo watu waache kuvamia na kufunga biashara ovyo yeye ndio anaelewa ugumu wa kushawishi watu kuja kufanya biashara halafu watu wanavamia tu.
 
Nia ni kufanya wa TZ wawe mashetani na kufanya biashara irudi kwa dola. Pole na kuandika inatosha kuweka kumbukumbu sawa.
Sheria ni msumeno jameni. Kila siku wadogo wanabambwa na TRA, awana mtetezi Chadema jamiiforum. If you are clean Mzee you are clean. Waache TRA wafanye kazi yao.
 
Sheria ni msumeno jameni. Kila siku wadogo wanabambwa na TRA, awana mtetezi Chadema jamiiforum. If you are clean Mzee you are clean. Waache TRA wafanye kazi yao.
Hakuna anayekataa sheria bali approach ndio shida kwa awamu hii na zipo namna bora zaidi ndio kilio cha watz, ndio maana hata chroloquin inakuwa sugar quoted ili mgonjwa asisikie uchungu inawezekana kabisa angepewa chungu
 
Pole sana Mr Mafuruki. They must be angry at you because you dont give them bribes... Finally this will be over and your business will run smoothly even with all that terror...
 
Mufuruki wa Geita Gold mine anauza ma computer pole bosi wangu.
Ila walitumia ubabe mikonteina huingia city centre usiku ngoja wakague
 
Huyu na yule Dr wa Unafiki Bin Banna wanavuna walichopanda kwa tafiti na data zao za kupika kukipendelea CCM.
 
Back
Top Bottom