Ali Mtoni Sonso hana uwezo wa kuchezea Yanga

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,702
45,021
Nimemuangalia katika mechi kadhaa toka asajiliwe Yanga, nimegundua Ali Sonso hatoshi kuwa katika jezi za Yanga.

Kwasasa anacheza beki namba 3, sio mzuri sana kwenye ukabaji, lakini hata anapopanda kupiga krosi wakati wa mashambulizi, krosi zake zinakosa accuracy. Huwa anajipigia tu bila ya kuwa na uhakika.

Yanga ni bora wangembakisha Mwinyi Ali, kuliko huyu Ali Sonso. Labda ni mzuri akicheza kati lakini kwasasa hawezi kuwatoa Lamine Moro au Kelvin Yondani.

Dirisha dogo Yanga watafute Beki 3 mzuri wa viwango vya kucheza Yanga. Hawa akina Sonso ni wachezaji wa kariba ya Lipuli, Mbao, Biashara Utd.
 
Nmewahi andika uzi humu kuhusu Ali Sonzo kuwa kiwango chake si cha kucheza Yanga. Hata kutuliza mpira tu hawezi

Una Leseni gani ya Ukocha Ndugu na kama utaweza naomba kujua mpaka hivi sasa umeshawahi Kufundisha Mpira Timu gani / zipi ili tuweze Kupima Uelewa wako mzima wa Masuala ya Mpira / Soka / Fabo. Mimi ni mwana Simba SC tena Kindakindaki wala sifichi ila huyu Beki hapa Yanga SC wamepata Mchezaji na anachotakiwa tu sasa ni kumpata Mtu wa Saikolojia ili aweze Kumjenga vyema kwani anaonekana kuwa ' Presha ' ya Kuichezea Klabu Kubwa kama ya Yanga SC inamtesa ila kwa baadae akishazoea na kukaa rasmi katika reli atakuja kuwasaidia mno Watani zangu wakubwa Yanga SC tena pengine hata kama walivyokuwa akina Gadiel Michael na Haji Mwinyi Ngwali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom