Ali Kiba na studio AY na muziki Diamond muziki studio na biashara

Swala c kaimba na nan, swala kaimba nn, ndo mashabk wanachotaka. AY alikimbilia nje baada ya kuona soko bongo limeanza kuwatupa yeye na GK. Unaposema tatizo promo, km kaimba na Kingston, Romeo, Master P N.K What kind of promo alitaka? Hata km angeimba na Wacko Jacko km nyimbo mbovu angeckiliza yeye na ndugu zake kwan hata huyo Wacko kuna nyimbo watu walizpotezea. Diamond km ulivosema ni mjanja hvo anajarib kupenya kuptia mbeleko za wasanii wa nje. Hyo kibiashara ni sawa lakini kimziki inaonyesha hana uwezo wa kupenya yeye km yeye km walivofanya akina Oliver Mtukuzi, Angeli Kijo, Fela Pukut nk. Labda wimbo wake na Papa na ule Mari, lkn zngne aliimba aonekane kaimba na akina fulani. Diamond pia co mwandsh mzr wa mashair hata hyo nyimbo na Neyo ukisoma lyrics ni shida, bora angeomba Amini amwandikie anapokua na project kubwa. Ile Kigoma All Stars wimbo unahusu TZ yeye anaimba kuhusu mama yake wkt kuna mambo mengi angeweza zungumzia. Music co promo ni uwezo, wa kushka hisia za watu kuptia tungo,saut na ala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom