Ali Kiba kwa nini amewadharau kiasi hiki mashabiki wake?

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,066
1,048
Ni karibu wiki moja sasa toka Ali Kiba atoe wimbo mpya Aje. Lakini cha kushangaza wimbo umezinduliwa nje ya nchi na unachezwa huko karibu wiki nzima huku washabiki wake wa bongo wakiendelea kusubiri kuuona wiki nzima.

Sio vibaya kuzindulia huo wimbo TV za nje ila inapofika wiki nzima watu wanachomeshwa mahindi as if mashabiki wake wapo huko South Africa na Nigeria basi kama sio dharau hilo ni tatizo kubwa.

Sielewi huyu msanii target yake ya kibiashara anapotoa project ni kina nani haswa. I thought fan base yake kubwa ipo hapa Tanzania na East Africa ambao angewaangalia kwanza maana awa sio watazamaji wa mtv wala sound city kabisa.

Kiba ataishia kutafuta sababu za kufeli kwake ila mchawi ni yeye mwenyewe. Aje ni wimbo mzuri ila kwa ata mimi ambaye nipo shalo kwenye biashara ya muziki naona imeshafeli. imagine mpaka sasa ingeshapata views ngapi ingali ya moto.
 
Aah,

Aje,ooh ooh Aje.damn!

Ali Kiba yuko vizuri M.I nae kanogaa. Wimbo mzuri sana.
 
Wabongo hamna jema nyinyi, sisi mashabiki wake tunaisubiria video kesho utube
 
Ni karibu wiki moja sasa toka Ali Kiba atoe wimbo mpya Aje. Lakini cha kushangaza wimbo umezinduliwa nje ya nchi na unachezwa huko karibu wiki nzima huku washabiki wake wa bongo wakiendelea kusubiri kuuona wiki nzima.

Sio vibaya kuzindulia huo wimbo TV za nje ila inapofika wiki nzima watu wanachomeshwa mahindi as if mashabiki wake wapo huko South Africa na Nigeria basi kama sio dharau hilo ni tatizo kubwa.

Sielewi huyu msanii target yake ya kibiashara anapotoa project ni kina nani haswa. I thought fan base yake kubwa ipo hapa Tanzania na East Africa ambao angewaangalia kwanza maana awa sio watazamaji wa mtv wala sound city kabisa.

Kiba ataishia kutafuta sababu za kufeli kwake ila mchawi ni yeye mwenyewe. Aje ni wimbo mzuri ila kwa ata mimi ambaye nipo shalo kwenye biashara ya muziki naona imeshafeli. imagine mpaka sasa ingeshapata views ngapi ingali ya moto.
Aye bado haujatoka official.Unatoka kesho
 
Ni plan zake tu, hakuna cha dharau wala nini. Sisi mashabiki tumeridhika. Kesho tunauona Youtube
 
Back
Top Bottom