Ali Kiba kuwa Director wa 'Afrika Rockstar 4000'

Hatimaye msanii na mwanamuziki Ali Saleh Kiba amekuwa director (mkurugenzi) wa kampuni ya kusimamia mziki Afrika Rockstar 4000 na Rockstar television. Ali kapewa nafasi ya uongozi huo baada ya kuwa chini ya kampuni iyo kwa takriban miaka 6 ya mafanikio.
Sikulaumu kwa vile lugha yenyewe imekuja kwa ndege,kama si hivyo basi mahaba yamekugaragaza hadi upotoshaji ndio unaufanya ndio usahihi,hebu mtafute mtu akutafasirie (maana nikikutafasiria mimi nitaonekana nimetia chumvi)
 
Jiwe gizani..kajichubua chubuuu....ommy dimpoz ana utani sana
Ngoma kali sana...

ommy-cheche.jpg
 
Sikulaumu kwa vile lugha yenyewe imekuja kwa ndege,kama si hivyo basi mahaba yamekugaragaza hadi upotoshaji ndio unaufanya ndio usahihi,hebu mtafute mtu akutafasirie (maana nikikutafasiria mimi nitaonekana nimetia chumvi)

Ndo uitie iyo chumvi tuone
 
nenda account ya insta ya rockstar afu soma habari kiufasaha.....kumbuka dictionary ya TUKI itakusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom