Ali kiba jayooooooooooooooooo

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Jamani wana jf,hususani wale wa upande wa sports&Entertainment,umefika wakati sasa wa kuwapongeza wanamuziki wetu vijana pale wanapofanya vizuri hata kama wewe sio mshabiki wa mwanamuziki huyo
mimi kwa kweli natowa pongezi zangu za dhati kwanza kwa R Kelly mwenyewe,pili nawapongeza wanamuziki wote walioshilikiana na R kelly ktk wimbo wa HANDS ACROSS THE WORLD

Lakini natowa pongezi zangu za dhati kutoka moyoni kwa Kijana ALI KIBA kwani ametuwakilisha vizuri ktk nyimbo hiyo akiwepo na shemeji yetu Amani

Ali jayoooooooooooooooooo,kipaji unacho,kaza buti mkuu nafasi ni yakooooooooo


MAPINDUZIIIIII DAIMAAAAAAAA
 
Kajitahidi kiasi chake. Kuna watu wametuwakilisha vizuri kama Enika kwenye tour ya Europe iliojulikana kama Daughters of Africa ila sijamsikia hata kiongozi au mtu yeyote akimsifu. Jumla Africa nzima ni wasichana 12 waliopatikana ikiwemo 2 kutoka Kenya. Kenya wamewafanyia sherehe ya kitaifa walivyorudi.
 
Siajsikia tamko lolote toka serikalini hadi sasa kuhusu Ali Kiba. Labda kwa vile hakuwa nao kwanye kampeni au??? manake nilikuwa cmuoni kwenye kuzunguka na ccm TZ nzima.
 
na hayo ndio madhara ya kuwa na viongozi wasiojari,kwani ukiangalia hii video yao utaona bendera yetu ya tz ikipeperushwa vilivyo na sauti nyembamba iliyopo ktk kiitikio cha hiyo nyimbo
nadhani viongozi wa tz wanatakiwa kubadilika na kuwatia moyo vijana wetu

mapinduziiii daimaaaaaaaa
 
Wakupongezwa kipekee ni airtel kwa kuamua kudhamini hii project mimi naona airtel wamekuja vizuri
 
Siajsikia tamko lolote toka serikalini hadi sasa kuhusu Ali Kiba. Labda kwa vile hakuwa nao kwanye kampeni au??? manake nilikuwa cmuoni kwenye kuzunguka na ccm TZ nzima.

Hao ndo viongozi wetu bana. Ukiona hawatii neno ujue hawakupata mwanya wa kujichotea kitu kidogo kwa faida yao kupitia mgongo wa msanii husika. Aibu hii mpaka lini??
Hongera Ali Kiba kwa kutuwakilisha vema.
 
Back
Top Bottom