Ali Kiba hujawatendea Haki wasanii wenzako wa Bongo Fleva kwenye album yako

Ila Kiba kanikera sehemu moja..

Haiwezekani nyimbo zote za kwenye album yake akaanza kuimba yeye, kwanini nyimbo zengine asikae mwisho ili amtangulize alimshirikisha/washarikisha?

Ni kukosa ubunifu kwa kweli.

Na naona watu wanaisifia sana huko mitaani, kiukweli sipo upande wowote lakini kwa hii albamu sijaona maajabu yeyote.
Umeisikiliza ndombolo mkuu?
 
Back
Top Bottom