Ali Kiba, Harmonize wamjibu Diamond kuhusu tamasha la Wasafi Festival

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,518
diamond.png


alikiba.png


PIC+ALIKIBA.jpg


ALI KIBA ANA MAJIBU YA KIKE, KAMA KUNA UMAFIA ALIFANYIWA NA MOND SI AFUNGUKE??
 
Hawa watoto wapumbavu sana.. Hivi kwanini wanashindwa kuelewa kuwa wanachonganishwa na wenye roho za kwanini, kijicho na roho mbaya? Na mhanga hapo ni Mondi... Asipo act smart.. Watamu outsmart... Kisha wakishafanikiwa watamcheka sana
Kaka unaamini kuna bifu kati ya hawa watu hizo ni kiki za kimuziki
 
Msilo lijua hii ni biashara, and trust me these two guys (Alikiba & Diamond) knows how to do business especially promotion in Tanzania

Sasa we kalia kuwa hawa wanagombanaga! There is a life behind the scene na siku mkiijua between the two managements of ali and diamond mtachoka!
 
Hao watu sidhani Kama Wana bifu bali Kuna wajinga wanatengeneza kiki kuwagombanisha na kuwapaisha tu, ingekuwa Wana ugomvi tungeshuhudia ngumi au matusi na kupelekana mahakamani au kupigana risasi
 
Back
Top Bottom