Ali Kiba aufyekelea mbali YouTube wimbo wa 'Hela' baada ya kushukiwa na mashabiki wake kutoa wimbo mbovu

Kiba ameweka akili zake kwenye kupambana zaidi na mond kuliko kufanya kazi, mwenzie ye yuko tofauti anaangalia kazi kwanza mambo ya bif anawaachia team mond!
 
Kiuno kidogo cha Ali Kiba chashindwa kuvaa Pensi ya Pepe Kale, aufuta wimbo wake mpya Youtube.

Ali Kiba aliachia wimbo huo usiku wa kuamkia leo Jumatano hii baada ya kukaa muda mrefu bila kuachia kazi.

Hata hivyo baada ya kuachia wimbo huo, mashabiki walionekana kutoridhishwa na kazi hiyo huku wengine wakidai kwamba wimbo huo ameuridia wimbo wake wa zamani.

Soma>Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Hela' - JamiiForums

Ule Mkono wa Diamond pale Leaders umeondoka na nyota ya mtu😂😂😂
 
mapenzi ya upepooooo,kama bendera mama weeeee
Mwenzako moto hauzimiiiiiiiiii

Taratiiiiiiibu nakula 'good music' nyie endeleeni kufuta nyimbo utube
 
Hao wasanii wa bongo flavour na Bongo movie wote wamekaa kiCCM sana. Kwa jinsi walivyokuwa wakiipamba CCM kwenye majukwaa 2015 ili kuwatapeli watanzania, nikiona wanaanguka kimuziki huwa nafurahi sana na kupata faraja sana.

Na bado, wote watakwisha kabisa. Mmoja mmoja. Kama sio kufirisika, wataishia kupigwa miti au kubwia unga.
 
Please mods msiunganishe uzi huu
Ur61vwb.png

Nimeshangaa sana kijana kaweka video yake youtube then baadae kaifuta, kwa bahati nzuri niliishusha na nimeiweka hapa muitazame

SHUSHA VIDEO HAPA>> DOWNLOAD VIDEO, 12 MB
Ahsante umesaidia kuiona, umefanya vizuri kuifadhi
 
Hao wasanii wa bongo flavour na Bongo movie wote wamekaa kiCCM sana. Kwa jinsi walivyokuwa wakiipamba CCM kwenye majukwaa 2015 ili kuwatapeli watanzania, nikiona wanaanguka kimuziki huwa nafurahi sana na kupata faraja sana.

Na bado, wote watakwisha kabisa. Mmoja mmoja. Kama sio kufirisika, wataishia kupigwa miti au kubwia unga.
Usituletee siasa kwenye jukwaa letu pendwa tafadhali
 
Back
Top Bottom