Tetesi: Ali Kiba aongeza single mother, demu amkimbia Dar baada ya kukwepa majukumu

Hongera Kiba kwa
1. kutekeleza kauli ya Rais ya kufyatua tu.
2. kutekeleza kauli ya Tanzania ya viwanda maana hapo tayari una kiwanda kimoja ..(rejea kauli ya vyerehani 4 kiwanda kimoja ) kwa hapo unabaki na mmoja wa salio kwaajili ya kumtuma uzi na vitambaa.
watu mna maneno
 
jokate na wenzako mmezidi kujitongozesha kwa king.
sporah na wewe ulikoss aibu ukaamua umtongoze king.....
 
Sifa ya uwanaume ni ku take responsibility iwe ni kulea mimba/mtoto au kuvaa kinga siyo kupiga mimba hovyo kama wanyama.
 
ujanja kuzalisha kama uko vizuri wewe tundika mimba 2 hata wanawake wa3 kwa mwaka achana na mapenzi utapata heartbreak tu wanawake wenyewe ndo hawa macho kwenye pesa... mapenzi hakuna tena poleni mnaojaribu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom