Ali Kiba anaongoza shindano la African NAFCA

SHABANIMAVOCHA

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
320
65
Nimefurahi sana na wewe ungana na furaha yangu coz hadi sasa hivi Kiba anaongoza kwenye katalogy zote 3 tena kwa kiasi kikubwa sana na wewe nenda kwenye link fanya ku vote kwa Kiba ili kura ziwe nyingi zaidi
yani hakuna cha simba wala panya ni KIBA + KIBA *KIBA check hizo kura hapo chin ni good good

Screenshot_2016-07-05-08-52-30.png
 
team kiba tunafanya yetu hadi ss hv kiba anaongoza kwenye katalogy zote 3 tena kwa kura nying sna na ww usichelewe nenda kwenye link fanya ku vote kwa kiba
hakuna cha simba wala chui ni kiba +kiba + kiba * kiba
check hzo kura hapo hyo ni kataloy 1 tuuView attachment 363133

Ingependeza pia kama mngekuwa mnaongoza kwenye kufuta ujinga!
 
Back
Top Bottom