Ali Kiba amfundisha Zuchu namna ya kufanya kazi Youtube

BOSS YA MBOKA

Member
Nov 26, 2020
8
8
VITA YA VIEWERS NA TRENDING KWENYE YOU TUBE.

Baada ya Ali Kiba kuachia nyimbo yake ya Ndomboro na nyimbo hiyo kutrend kuanzia audio, dance akiwa na mwanae pia video yenyewe sasa official Zuchu naye kafuata ubunifu kama huo wa KINGKIBA wakuachia audio, dance akiwa na madancer wake ampapo baadae ataachia video.

Ashukuliwe KINGKIBA kwa kumfundisha mdogo wake Zuchu jinsi kwa sasa kazi zinafanywa hasa kwenye YOUTUBE.
 
Wewe ndo pumba kabisa duh! Hivi unajua huo mfumo aliuanzisha nani Eti alikiba
Msamehee tuuu

Ila nisaidie kujua ni nani aliyeanzisha hvyo.

Pia faida yake ni ipi??

Kwa sababu sioni umuhimu wa kuweka mambo yakawa meeengi!!!

Urahisi ni kutoa kichupa kuache kiende,

Ila sijui utangulize audio,mara sijui dance

Mwishowe video inatoka watu washakinai
 
Kiba ule moto wa Diamond hauwezi, msijaribu kumshindanisha,mnamtia mastress bure Yaani Diamond kutoa boringo na Koffi, watu wengine wote wanataka kupita mulemule. Kitu cha kuchekesha wote wanatoa maboko. Hawana ideas ya kazi, chuki tu ndio zinawasumbua
 
Kwani inama ya diamond na fally, na hii ndombolo ya kina kiba na wadogo zake ipi ilikuwa ya kwanza kutoka? maana na inama walitoa audio, ikaja dansi na badae video... mzee inabidi ukiri kwanza kuwa ndo umeanza kufatilia muziki mwezi huu, kubali kuwa we n mweupe kabisa katika haya maswala ya muziki na umekurupuka tu bila hata kuublashi ubongo wako google au youtube kwenyewe
 
Kiba ule moto wa Diamond hauwezi, msijaribu kumshindanisha,mnamtia mastress bure Yaani Diamond kutoa boringo na Koffi, watu wengine wote wanataka kupita mulemule. Kitu cha kuchekesha wote wanatoa maboko. Hawana ideas ya kazi, chuki tu ndio zinawasumbua
Kuna Prado Kimara anatafutwa mwenyewe imetelekezwa😂😭😂😂
 
Kiba ule moto wa Diamond hauwezi, msijaribu kumshindanisha,mnamtia mastress bure Yaani Diamond kutoa boringo na Koffi, watu wengine wote wanataka kupita mulemule. Kitu cha kuchekesha wote wanatoa maboko. Hawana ideas ya kazi, chuki tu ndio zinawasumbua
Kwamba Zuchu ndio Diamond au unataka kusemaje dida??
 
Back
Top Bottom