Ali Kiba akijipanga hii nyimbo hata FIFA wanampa hela for World Cup 2022

Nasikia ana dharau sana ndiyo maana hawezi kaa na mameneja ila hii albamu akijipanga akapata watu wa lobbying inampeleka mbali sana otherwise sidhani kama atakuja kufanya albamu tamu hivi, nyimbo zote ni moto, beats zimetulia kibongo fleva kabisa
Mange kazemaaaa
 
Sijajuaga huyu mtu anafeligi wapi sijui hana watu wa PR and Marketing, albamu yake iliyotoka jana ni kali sana mnoooo ila hili song akituliza kichwa akajipanga na kufanya lobbying linampeleka kimataifa kabisaaaaaaa hata FIFA wanaweza kulitumia katika orodha ya anthems za World Cup 2022.

Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.
 
Nasikia ana dharau sana ndiyo maana hawezi kaa na mameneja ila hii albamu akijipanga akapata watu wa lobbying inampeleka mbali sana otherwise sidhani kama atakuja kufanya albamu tamu hivi, nyimbo zote ni moto, beats zimetulia kibongo fleva kabisa

Kumbe unasikia??? Na mtaani wanasema amam yako malaya sana!!!!!

Waswahili bana, unaweza ukanunua chuki, ukaishi nayo ukatoa hukumu kwa kusikia tu

stupid u
 
Sijajuaga huyu mtu anafeligi wapi sijui hana watu wa PR and Marketing, albamu yake iliyotoka jana ni kali sana mnoooo ila hili song akituliza kichwa akajipanga na kufanya lobbying linampeleka kimataifa kabisaaaaaaa hata FIFA wanaweza kulitumia katika orodha ya anthems za World Cup 2022.

Ni mtu mwenye majivuno sana,hana exposure kabisa na anajifanya anajya kila kitu,hawapi fursa mameneja wake kufanya kazi za in a professional way

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kiba Ni mtaalamu wa kuimba lakini mshamba Sana..pamoja na uzuri wa album hii.. lakini utashangaa kitakachotokea
Mi tayari nashangaa kiNAchotokea.
Album kali mno ila haipo haipo kwneye platforms, radio stations, clubs, ringtones kwa simu za watu.
Ilibidi tuwe na anthem itukere masikioni.
Well sijui, labda ni mapema sana.
Wacha tuone.
Ila Kiba ni King kweli, mjinga ana sauti bana!!
 
Chief nahisi wewe ndio husikii.. kwani hujaona hii album imeishusha CLB ya Drake huko Apple tena duniani.. unajua ina streams ngapi mpaka sasa audiomack na spotify? Hujaona cover album imepostiwa times square new york unapajua Times square lakini?

Ali ashabutua kwa hii album.. bongo kamaliza jana alikua kenya na anazunguka africa nzima kuipromote.. kali sana hii

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Vile team Mond wanawahi kwenye uzi kwa mikogo kuja kudai kuwa Ali Kiba siyo chochote wala siyo lolote😁😁😁
AAP5rQ.jpg
 
ishindikane vipi K naan alikuwa ana hustle tu hapo nairobi msomali yule lakini nyimbo yake ilikuwa kwenye anthems za world cup 2010, ukijua nyimbo za world cup huwa zikoje hautapata tabu kabisa
Acha uongo wewe Knaan alihamia New York akiwa na miaka 13 pamoja na familia yake, baadaye wakahamia Toronto, wimbo wa Wavin Flag uliandaliwa kwa ajili ya album yake inayoitwa Troubadour, album ambayo ilikuwa chini ya record label ya A&M/Octone ambayo ilikuwa chini ya Universal Music Group, umeelezea kama vile aliokota tu dodo chini ya mnazi, haiko hivyo kwenye music industry !

Dunia imekuwa ndogo sana ndugu yangu ukiwa na right lobbyists hakuna kinachoshindikana siku hizi, ni kuwa optimistic tu, uandhani kwa mfano kama Mo dewji alivyo karibu na Infantino rais wa Fifa akammsikilizisha na kupitch idea kwamba hiyo nyimbo itumike kwenye anthems za world cup 2022 hata kama ni lyrics kuwa modified au hata ikishindikana itumike Afcon 2022 , hakuna kinachoshindikana narudia tena
 
Dunia imekuwa ndogo sana ndugu yangu ukiwa na right lobbyists hakuna kinachoshindikana siku hizi, ni kuwa optimistic tu
Nakubali hakuna linaloshidikana ila kwa muziki wetu kwenye soko lilivyokaa kutoboa kwenye world cup 2022 ni ngumu, wa Nigeria nao wana lobbyist wao na wamefanikiwa kuaminisha ulimwengu kuwa ukija Africa mziki mzuri utakaoukuta ni ule wanaoimba, Ali Kiba kwa album yake hii alistahili angalau hata wimbo mmoja upenye Billboard hot 100 lakini ni ngumu sana kwa hilo kutokea, sasa hivi Nigeria wana Wizkid Essence # 11 na Ckay Love Nwantiti #50, ila Ali Kiba akikaa nao hao kina Wizkid, Ckay, Burna Boy etc. studio ana uwezo wa kwenda nao spidi moja kama sio kuwakalisha kabisa, ila ndio hivyo soko waliolishikilia ni wengine.
 
Back
Top Bottom