Ali Hassan Mwinyi: Utawala wa Magufuli unatakiwa uwe wa milele

Pili: ingekuwa Sio katiba ingelifaa andelee kutawala miaka kumi zaidi, ila waislam wenzangu tatizo katiba.
Nadhani watu wanashindwa kuiona busara ya Mzee Mwinyi hapa!!

Mzee Mwinyi anaziona harakati za Makinikia Camp za kutaka JPM aongezewe muda wakati hata miaka miwili hajamaliza!!

Sasa hapo ndo anatoa ujumbe kwamba SAWA mnampenda lakini hii inchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba na lazima iheshimiwe!!!!

Hao Waislamu hapo ni chambo tu... huo ujumbe unapelekwa kwa Makinikia na wale waowatuma kwamba, hata kama mna mahaba niue lakini kuna katiba inayotoa misimu miwili tu ya uongozi!!!

Mzee Mwinyi ni Mwanafasihi!!!!
 
Naona amesahau kile kibao alichopewa kipindi cha nyuma kwenye maadhimisho ya maulidi day huyu babu mkumbusheni kuwa waislamu sio watu wa kuwahubiria mambo ya siasa kwenye mikusanyiko ya imani huwa ni wepesi wa kufanha jambo wanapoona unaenda tofauti. akumbuke tukio la kibao
Hichi kizee kitakuwa kinatafuta wakumfia.
 
Naona babu sasa umri umeshaanza kumpeleka kubaya...
wewe na wenzako mliomshutumu mwinyi kumbe bado mna akili ndogo sana...amekuzidini mwinyi mara kumi zaidi.

ukiangalia vizuri, alichokifanya mwinyi hapo ni kupinga hizi kampeni za kutaka aongezewe muda wa kuongoza miaka 100 (milele) km ambavyo tumeanza kushuhudia maandamano ya namna hiyo. amesema kabisa kuwa tatizo katiba (kuna maana kubwa kwa wenye akili hapa). mwinyi ni mzee wa pwani na mwanafasihi mzuri yule, anajua namna ya kum'hit' mtu kifasihi. kumbe akili zake ni za ujana kuliko zenu!!!
 
Atawale tu hata miaka mia akipenda,,,,maana Naona wanataka Tz iwe kama Rwanda au Uganda, ,,tuwe na ....kt....wetu nasisi
 
Anataka kujivunjia heshima bure huyu mzee....

Aliye sema nchi inaenda kama gari lililopoteza muelekeo ni nani!!??


Mkuu:
Hayo maneno ni mazito sana. Tafakari na uyachukuwe kwa uzito wake.
 
Whether you like or not...

But, President Dr. Magufuli, he's on a good trend for whatever he's doing.
 
IMG_20170622_174343.jpg


Ukizeeka halafu ukawa muislamu unakuwa na akili za namna hii
 
Back
Top Bottom