Ali Hassan Mwinyi kutunukiwa Honorary D. Lett, William Lukuvi MA kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ali Hassan Mwinyi kutunukiwa Honorary D. Lett, William Lukuvi MA kesho

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Magobe T, Nov 25, 2011.

 1. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Kesho Nov 26, 2011, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinaadhimisha mahafali ya 23 huko Bungo, Kibaha, Mkoa wa Pwani na wahitimu 2,444 watapokea magamba yao. Kati yao, yumo waziri William Lukuvi atakayepata MA katika Political Science na Rais Mstahafu Ali Hassan Mwinyi atatunukiwa Honorary Doctor of Letters (D.Lett).

  Hongera wahitimu wote! Mmepata, nanyi katoeni tupate maendeleo.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  lukuvi kaandikiwa hiyo thesis hana akili za kufanya MA....
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  acha chuki binafsi wewe. Ulimwandikia wewe?
   
 4. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2013
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Likuvi. Wizi mtupu, MA ? Darasa la sana apate masters....? Haya
   
 5. N

  Ngakayu Senior Member

  #5
  Nov 10, 2013
  Joined: Apr 26, 2013
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lukuvi alishapata mwaka 2011 MA ya political science. Nilishudia na Mwinyi alitunukiwa udaktari wa falsafa na OUT Mwaka huo huo.
   
Loading...