AlIi hassan MWINYI
president
Personal Information
Born on May 8, 1925, in Kivure, Tanganyika; raised in Zanzibar (which joined with Tanganyika in 1964 to form Tanzania).
Education: Trained to be a teacher.
Religion: Muslim.
Shukurani sana mkuuNyongeza hapo kwenye red; na ikumbukwe pia kwamba kabla ya kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Mwinyi aliwahi pia kuwa Rais wa Zanzibar ambapo mojawapo ya sifa za kuwa rais wa Zanzibar ni kuwa Mzanzibari.
Kama mleta thread anaona kulikuwa na ukiukwaji wa kanuni/Katiba hadi Mzee Mwinyi kuukwaa urais, namshauri aende mahakamani. Kuleta mi-thread isiyo na kichwa wala miguu hapa au kutupa link zisizo na mbele wala nyuma haitasaidia kubadili kitu.
Neno moja tunajua, nalo ni: Mzee Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar kisha akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ukweli huu hautabadilika hata utimilifu wa dahari.
Mkuu upo sahihi kabisa,OBOMA NI JALUO.Ila jaluo mweupe
<br />Kwa hiyo sheria za Marekani zinaruhusu kuwa na rais wa taifa lingine au ni kuwa kuna kabila la wajuluo ambao ni wamarekani?
Ukiona umeanza kuhoji juu ya udini au ukabila ujue umefilisika kisiasa - JK Nyerere