Alhamis Januari 12/2017, viongozi Wa chama cha ACT Wazalendo watakutana na Waandishi wa habari

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
620
1,543
ACT WAZALENDO

TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI

KESHO Alhamis Januari 12/2017, viongozi Wa chama cha ACT Wazalendo watakutana na waandishi Wa habari kuzungumzia masuala mbali mbali juu ya kampeni za uchaguzi Mdogo unaoendelea sehemu mbali mbali nchini

Wapi:Makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo yaliyopo sayansi Kijitonyama Jirani na kanisa la KKKT

MUDA:Saa 4:30 asubuhi

Muhimu kuzingatia muda

Abdallah Khamis
Afisa Habari
11/01/2017
 
hahahaha Ndug yangu Zitto kwa Magufuli utagonga mwamba...kamwe hatuwezi kutangaza baa la njaa kwakuwa kuna sehemu kuna ukame...
Ninacho kushauri ni kuchunga mdomo wako vizuri ili usiteleze kwakuwa najua una jaziba.
 
So hicho ni kikao cha ndani
 
Kama vile naona kikao kikizungukwa na wale jamaa na kuahirishwa kabla ya kuanza
 
Upinzani si kukosoa kosoa kila kila wakati rais anachosema au kufanya. Hii ni ukosefu wa adabu kwa rais na the majority waliomuweka madarakani. Demcrasy is the ruling of the majority and not the minority.

Zitto anapaswa sasa kunyamaza with due respect. La sivyo umaarufu wake utafifia na kukosa hata huo ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 na kuungana na ndugu yake Kafulila na Mkosamali.
 
hahahaha Ndug yangu Zitto kwa Magufuli utagonga mwamba...kamwe hatuwezi kutangaza baa la njaa kwakuwa kuna sehemu kuna ukame...
Ninacho kushauri ni kuchunga mdomo wako vizuri ili usiteleze kwakuwa najua una jaziba.
Wewe tangu ulipo tupwa na kusahaulika umegeuka kituko
 
Upinzani si kukosoa kosoa kila kila wakati rais anachosema au kufanya. Hii ni ukosefu wa adabu kwa rais na the majority waliomuweka madarakani. Demcrasy is the ruling of the majority and not the minority.

Zitto anapaswa sasa kunyamaza with due respect. La sivyo umaarufu wake utafifia na kukosa hata huo ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 na kuungana na ndugu yake Kafulila na Mkosamali.
Umefirisika
 
Kama ni suala la njaa, MSEMA KWELI Kashasema hakuna njaa,

Amewashangaa Watanzania kuwa walipaswa wajue kuna mvua fupi hivyo walime mazao ya mda mfupi, wao wakangangania kulima mahindi! Kila mtu atabeba mzigo wake!
 
Back
Top Bottom