Alhamdulilah: Matumaini ya Demokrasia yameanza kuonekana tena

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Shalom wapendwa
Asallam aleykum/Bwana yesu asifiwe

Mlio na mfungo hongereni na mzidi kukaza mwendo na kumcha mungu..

Twende kwa mada
Upinzani na demokrasia umeteseka sana nchi toka pombe awe rais kwa takriban miaka mitatu imegeuka miaka michungu mnoo na mibaya democracy ikifa ila nawaambia mungu si athumani..Matumaini yameanza kuonekana niliwaambia kuna thread niliwahi kuileta humu humu kwamba kabla ya 2020 magufuli ataanza kuporomoka na kuf ififia

Ila mungu ni mkali jamani amemdhihirisha tukaona rangi yake halisi

1.ufisadi
2.Dikteta
3.Mkabila
4.Makiburi
5.msema hovyo
6.Asiye na utu
7.Adui wa democracy
8.muongo asiye na kumbukumbu
9.mbinafsi
10.Asiye na A wa B za kuhusu uchumi na maendeleo

Harakati na matumaini yameanza kuonekana kwamba democracy na uhuru utapatikana nasema hivi kutokana na mwamko wa jamii watu na wanaharakati waliombinya kila kona yaani awamu hii kashikwa kisawa sawa apumui wala haguni...

Akichomeka wanachomoa 2020 yatatokea maajab nchi hii hata tume ikiwa ni ccm 100% ya venezuela yatakukuta mzee baba maana nchi nyingi zimeshakusimamia kucha
 
Endelea tu kuota ndoto za mchana. Si mlimtaka wenyewe Rais dikteta? Eti mzee wa Msoga kazidi upole. Na bado, hadi 2025 mtanyooka tu!
 
Anayafanya mengi sana na ana tatua kero nyingi sana ila ushabiki ndio ttz kubwa la watanzania.. Akigombea mjomba na Trump America.. Mjomba anapt kura nying san
 
Shalom wapendwa
Asallam aleykum/Bwana yesu asifiwe

Mlio na mfungo hongereni na mzidi kukaza mwendo na kumcha mungu..

Twende kwa mada
Upinzani na demokrasia umeteseka sana nchi toka pombe awe rais kwa takriban miaka mitatu imegeuka miaka michungu mnoo na mibaya democracy ikifa ila nawaambia mungu si athumani..Matumaini yameanza kuonekana niliwaambia kuna thread niliwahi kuileta humu humu kwamba kabla ya 2020 magufuli ataanza kuporomoka na kuf ififia

Ila mungu ni mkali jamani amemdhihirisha tukaona rangi yake halisi

1.ufisadi
2.Dikteta
3.Mkabila
4.Makiburi
5.msema hovyo
6.Asiye na utu
7.Adui wa democracy
8.muongo asiye na kumbukumbu
9.mbinafsi
10.Asiye na A wa B za kuhusu uchumi na maendeleo

Harakati na matumaini yameanza kuonekana kwamba democracy na uhuru utapatikana nasema hivi kutokana na mwamko wa jamii watu na wanaharakati waliombinya kila kona yaani awamu hii kashikwa kisawa sawa apumui wala haguni...

Akichomeka wanachomoa 2020 yatatokea maajab nchi hii hata tume ikiwa ni ccm 100% ya venezuela yatakukuta mzee baba maana nchi nyingi zimeshakusimamia kucha
FB_IMG_1557902444606.jpg
 
Kwa hiyo wewe utafaidika nini tz ikiwa kama Venezuela? Hili kweli ni la kushangilia???
 
..atakayesababisha Tz iwe au isiwe kama Venezuela ni Magufuli.

..kwanza ni kutokana na sera na jinsi anavyoendesha uchumi wa nchi.

..pili ni kama ataheshimu katiba na sheria, atazingatia demokrasia na kulinda haki za binaadam.

..Mfano mdogo, Wamarekani walitunyima fedha za msaada MCA baada ya CCM na Jecha kuvuruga uchaguzi wa Znz.
 
Bila kusahau hawezi zungumza sentensi moja ya lugha ya malkia...
Hapo ndipo mnapokosea. Lugha ya malkia ina mchango gani na ukuaji wa demokrasia? Ipende na itukuze lugha yako adhimu ya Kiswahili.

Chako ni chako, cha kuazima si chako!!
 
Back
Top Bottom