Alhaji Sheikh Ponda: Game Changer kwa kura za Waislamu

Kwa mtu yoyote mwenye akili timamu anajua fika ccm wanategemea kura za wizi ili kutangazwa washindi. Sababu hasa ya kusema wakala wa kituo atapewa nakala ya matokeo ni ili kulinda wizi huo. Kuna hili la tume kupeleka mawakala sehemu watakayo wao, lengo ni ili wachelewe vituoni waingize hayo mabox ya kura yenye kura ndani. Ushauri mchungu, bila kujiandaa kwa machafuko tutegemee uchaguzi wa kihuni kupita maelezo, na uhuni huo utakuwa ndiyo njia rasmi ya ccm kuendelea kukaa madarakani.
Kura haziibiwi kwenye kituo cha kupiga kura, kura za Rais zinaibiwa kwenye majumuisho ya nchi nzima.

Hakuna namna yoyote ya kuiba kura mkiwa na mawakala wakweli na mkawa na senta yenu kila kata ya kujumlisha kura za diwani, kura za jimbo na kura za Rais.

Huitaji Tume ya uchaguzi kukutangazia mshindi, mshindi mnamjuws nyinyi wenyewe mkiwa na timu nzuri ya kuratibu ukusanyaji wa nakala za matokeo kila kata, jimbo na mkoa kwa ujumla.

Maalim Seif huwa anakuwa ameshaliza majumuisho ya kura kabla ya Zec na ndio maana Jecha akaona isiwe tabu bora afute uchaguzi.

Nina wasiwasi mkubwa na Chadema sidhani kama wana timu ya uhakiks ya kusimamia kura za urais.

Makao makuu ya Chadema pamepwaya hakuna briefings zozote za uchaguzi badala yake sasa Lisu ndio anaibeba Chadema.

Kwenye uchaguzi uliopita Ukawa walikuwa na ngome yao Kawe kwa ajili ya briefings, kule Kenya Odinga alikuwa na ngome yao waliita Pentagon ndio ilikuwa inaratibu, lakini Chadema sijui tatizo ni nini?

Bila Lisu kurudi ni kweli Chadema ilikuwa inakwenda kupata aibu ya mwaka, ila Mungu mkubwa Lisu amerudi amebadili upepo ccm inakwenda kuangushwa, lakini kuna mikakati gani ya kichama badala ya kumtegemea Lisu kwa kila kitu?
 
Nidiriki kusema mchezo umeisha na CCM tumeliwa hadaharani.... Ingizo la Sheh Ponda katika kampeni za Lisu ni total disaster kwetu CCM.... Kwa ratiba ya Lisu niliona jana ataenda huu ukanda wa Kibiti, Rufiji, Lindi, Mtwara na Ruvuma pia.... Huko kwa Waislamu Sheh Ponda ananguvu kama ya Tsunami... Sheh Ponda ana command kubwa kwa waislamu kuliko BAKWATA....

CCM tushafanya a big mistake kwa kweli....

Suala la pili ni Lisu kumaliza kampeni Dar es Salaam. Wakati Mgombea wetu tarehe hiyo 27 atakuwa mapumnziko Chamwino... Yaani Lisu kumaliza mziki Dar is another disaster... Itakuwa ni funga kazi na atakomba kura zote Mlm 3 za Dar..

NB:.. Bashiru na Pole Pole lazima tuwambie ukweli. Hizi kampeni za safari hii mmechemsha sana sana. Mlijua kabisa nyie ni wageni wa kuja, hamjawahi kushiriki uchaguzi wowote ule toka mzaliwe hata wq serikali ya kijiji, mkajifanya mnajua kila kitu na kuminya wengine wenye ushawishi ndani ya Chama. Sasa angalieni matokeo yake.

Kwa mara ya kwanza Rais aliyeko madarakani tokea tupate uhuru anaandaliwa speech mbili. Ya kushukuru kwa ushindi na at the same time anandaa speech ya kukubali kushindwa... You have really put us in a mess You two people... Tukivuka hili, basi mjiandae kabisa na mfunge kabisa mabegi yenu. Hatuwezi kukubali kuingia na nyie tena katika uchaguzi wa 2022 na 2025.... Kama TUKISHINDA ingawa sioni dalili
Duh...yaani Ponda ni game changer?! Dah...A joke of the year?
 
NB:.. Bashiru na Pole Pole lazima tuwambie ukweli. Hizi kampeni za safari hii mmechemsha sana sana. Mlijua kabisa nyie ni wageni wa kuja, hamjawahi kushiriki uchaguzi wowote ule toka mzaliwe hata wq serikali ya kijiji, mkajifanya mnajua kila kitu na kuminya wengine wenye ushawishi ndani ya Chama. Sasa angalieni matokeo yake
Kosa kubwa walilofanya CCm kwa kujua au kwa kusahaulishwa Na Mungu. Ni lile tambiko la kichawi kuwaroga WATANZANIA aka mwenge kutozungushwa mwaka huu. Now mind za watz haziko kwenye zindiko zimeamka. It's too late.
 
Haya ndio madhara ya Magufuli kutofuata kanuni na taratibu za Uchaguzi, kwa kuruhusu viongozi wa dini kumwombea kura jukwaani.

Sasa shambulizi moja tu Shekhe Ponda limekuwa shubiri na kufunika kampeni zote za akina Mzee wa Upako
 
Kura haziibiwi kwenye kituo cha kupiga kura, kura za Rais zinaibiwa kwenye majumuisho ya nchi nzima.

Hakuna namna yoyote ya kuiba kura mkiwa na mawakala wakweli na mkawa na senta yenu kila kata ya kujumlisha kura za diwani, kura za jimbo na kura za Rais.

Huitaji Tume ya uchaguzi kukutangazia mshindi, mshindi mnamjuws nyinyi wenyewe mkiwa na timu nzuri ya kuratibu ukusanyaji wa nakala za matokeo kila kata, jimbo na mkoa kwa ujumla.

Maalim Seif huwa anakuwa ameshaliza majumuisho ya kura kabla ya Zec na ndio maana Jecha akaona isiwe tabu bora afute uchaguzi.

Nina wasiwasi mkubwa na Chadema sidhani kama wana timu ya uhakiks ya kusimamia kura za urais.

Makao makuu ya Chadema pamepwaya hakuna briefings zozote za uchaguzi badala yake sasa Lisu ndio anaibeba Chadema.

Kwenye uchaguzi uliopita Ukawa walikuwa na ngome yao Kawe kwa ajili ya briefings, kule Kenya Odinga alikuwa na ngome yao waliita Pentagon ndio ilikuwa inaratibu, lakini Chadema sijui tatizo ni nini?

Bila Lisu kurudi ni kweli Chadema ilikuwa inakwenda kupata aibu ya mwaka, ila Mungu mkubwa Lisu amerudi amebadili upepo ccm inakwenda kuangushwa, lakini kuna mikakati gani ya kichama badala ya kumtegemea Lisu kwa kila kitu?

Bila kupinga maelezo yako mazuri, ni kweli kura hasa za urais kwenye majumuisho ndio kwenye shida. Ila kwa macho yangu niliona mabox ya kura yakitolewa kituoni kwenye uchaguzi wa marudio kwenda kujazwa kura za ccm. Haya yalifanyika mbele ya polisi na msimamizi wa uchaguzi, na mbinu hii itatumika hata sasa. Kinachofanyika zitaletwa karatasi za matokeo fake hizo ndio zitakuwa na majibu atakayo Magufuli na ccm yake. Hao mawakala watalazimishwa kusaini fomu hizo hata kwa kipigo. Haya ya kipigo kwa mawakala wa upinzanii niliona kwa macho yangu, tena walioendesha zoezi hilo ni polisi.

Hilo la kwamba uongozi wa cdm umefulia tumesema sana huku jukwaani, kuwa kwa sasa haikuwa muda muafaka wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm tena. Huyo Mnyika nilikuwa na shaka naye toka mwanzo, ila nikampa benefit of doubt, as how is stand Mnyika haiwezi kazi hiyo. Kuna uzi humu jukwaani unaozungumzia Mnyika kushindwa kazi ya ukatibu mkuu, na wachangiaji wengi kwenye uzi huo ni sisi wafuasi wa cdm.

Ni kweli kwa sasa aliyerudisha hamasa ya uchaguzi huu kwa upinzani/cdm, ni Tundu Lisu tu. Tulisema toka mwanzo iwapo Mbowe, Msigwa na hasa Nyalandu, iwapo ndio watagombea urais kupitia cdm, wengi wetu hatutapiga kura. Sioni mikakati yoyote ya maana ya chama kwenye uchaguzi huu hasa upande wa dhuluma. Na baada ya uchaguzi huu tushinde au tushindwe, sasa ni muda muafaka wa Mbowe kauchia uwenyekiti, na uongozi apewe Lisu na ukatibu mkuu apewe John Heche au Marcus Albanie, kama bado anataka kupewa nafasi hiyo.
 
Kura haziibiwi kwenye kituo cha kupiga kura, kura za Rais zinaibiwa kwenye majumuisho ya nchi nzima.

Hakuna namna yoyote ya kuiba kura mkiwa na mawakala wakweli na mkawa na senta yenu kila kata ya kujumlisha kura za diwani, kura za jimbo na kura za Rais.

Huitaji Tume ya uchaguzi kukutangazia mshindi, mshindi mnamjuws nyinyi wenyewe mkiwa na timu nzuri ya kuratibu ukusanyaji wa nakala za matokeo kila kata, jimbo na mkoa kwa ujumla.

Maalim Seif huwa anakuwa ameshaliza majumuisho ya kura kabla ya Zec na ndio maana Jecha akaona isiwe tabu bora afute uchaguzi.

Nina wasiwasi mkubwa na Chadema sidhani kama wana timu ya uhakiks ya kusimamia kura za urais.

Makao makuu ya Chadema pamepwaya hakuna briefings zozote za uchaguzi badala yake sasa Lisu ndio anaibeba Chadema.

Kwenye uchaguzi uliopita Ukawa walikuwa na ngome yao Kawe kwa ajili ya briefings, kule Kenya Odinga alikuwa na ngome yao waliita Pentagon ndio ilikuwa inaratibu, lakini Chadema sijui tatizo ni nini?

Bila Lisu kurudi ni kweli Chadema ilikuwa inakwenda kupata aibu ya mwaka, ila Mungu mkubwa Lisu amerudi amebadili upepo ccm inakwenda kuangushwa, lakini kuna mikakati gani ya kichama badala ya kumtegemea Lisu kwa kila kitu?
Mkuu hongera kwa kuongea jambo kubwa sana. Naona team ya chadema imelala sana, Lisu ndio anafanya kila kitu hata wakati ule walimfungia akawa anafanya vikao vya ndani nikashangaa inamana hakuna watu wa kuratibu huu uchaguzi ndani ya chama.

Chadema kama mnapita chukueni huu ushauri na muanze kazi mapema bado hamjachelewa.
 
Hahahaha.. Sheh??? au siyo. Kama nilivyosema nilivyosema kuhusu Gwajima, Wachungaji wa KKKT narudia pia Sheikh Ponda. Viongozi wa dini wanaoingia kwenye siasa ni wapumbv.
Huenda mpumbavu ikawa ni wewe., dini na siasa ni baba mmoja mama mmoja, kiongozi wetu na mtukufu wa daraja Mtume wetu Muhammad S.A.W alikuwa anaongoza dola ya kiislamu, vipi utaongoza na kushika dola za kiislamu bila ya kuwa mwanasiasa, kilichomvutia Sheikh Ponda kwa Tundu Lissu ni kwamba pamoja na kwamba Lissu ni mkiristo lakini mara zote Lissu amekuwa akisisitiza katika uongozi wake atakuwa anatenda HAKI na haki ndio msingi mkuu wa dini ya Kiislamu, kwanini Waislamu wachelewe kuumunga mkono mtu ambaye ataongoza kwa haki?
 
Haya ndio madhara ya Magufuli kutofuata kanuni na taratibu za Uchaguzi, kwa kuruhusu viongozi wa dini kumwombea kura jukwaani.

Sasa shambulizi moja tu Shekhe Ponda limekuwa shubiri na kufunika kampeni zote za akina Mzee wa Upako
Bahati mbaya sana hakuna kuhani, mchungaji au askofu atakayethubutu kusema Wakristo tumekubaliana lumpigia kura Magufuli.

Gamanywa anafurukuta lakini Mqingira akifunua mdomo anawafunika wote.
Lissu ni mpango mahausi wa Mungu kulikomboa taifa.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Tutamshauri Raisi Tundu Lissu ili Alhaji Sheikh Ponda awe Mufti Mkuu wa Tanzania
 
Umesomea mambo ya ulinzi?

Unapolinda utasimama wapi? Hiyo ardhi mwenyewe kakupa kibali kusimama kwenye ardhi yake?
Hakuna nguvu inayozidi nguvu ya Umma. Hata hao Mapolisi na wanajeshi ni waathirika wa mfumo kandamuzi wa Magufuri
 
Back
Top Bottom