Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,325
- 5,543
Acha kujidanganya mwenyew we zumbukuku
tatizo mnapost vitu bila kufanya utafiti
sheikh ponda na sheikh Rajabu katimba kwa sasa katika uislam awana jpya
waislam hivi sasa wanatumia taranta tofauti kakika harakati za kiislam
wao masheikh wenu wawili ponda na katimba ni masheikh dili (mission town
waislam hivi sasa na ponda ni kama bange na polisi
ponda alikuwa mwembechai baadae mtambani kisha harakati zikaamia tungi temeke
baada ya ponda waislam kumpigania kwa hali na mali alivyokuwa jela siku ya kuachiwa huru pale morogoro siku hiyo hiyo akawaacha waislam kwenye mataa akaungana na chadema pale morogoro na kupanda magari ya chadema
waislam nao wakamzalau pale pale na ponda kuonekana kachagua siasa badala ya DINI
uwenda ulikuwa haujui sasa nakujulisha leo ponda yule katika harakati za kislam mbaka ponda huyu msaka tonge katika majukwaa ya siasa