Alhaji na Prof: Raha ya kutumia Elimu kumshinda Mbumbumbu asiyejijua

DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
2,050
1,220
salamu! Lipumba kuendelea kuwa mwenyekiti wa cuf na mtatiro akiendelea na drama ya utekaji. Wao walitumia uhalisia eti si aljiudhulu mwenyewe, yeye prof alichukua katiba ya cuf,kalamu na karatasi,na nakala ya barua yake ya kujiudhulu. Akapambanua hoja za uhalali wa uenyekiti wake . kisha akamtupiwa msajili wa vyama siasa with fułl of arguments and attachments. Ukiwa na Elimu una nuru kubwa. sasa waende mahakamani akina mtatiro.
 
Kama unadhani lipumba ana sound/valid argument ya kuruhusiwa kurudi to his former position, then that also says more about your intelligence as it does for him
In short, you both aren't putting your brains and critical thinking skills to good use.Sio waelewa.
 
kujfanya mjuaji wakati hujui,
 
Hapo prof kachemsha tu. Watu wanaongozwa kwa ridhaa yao na siyo amri ya mtu fulani. Labda kama anataka kuwatawala na si kuwaongoza manake hata wakoloni wa kizungu walifanikiwa kututawala lakini walishindwa kutuuongoza ndiyo maana tuliwatoa balu.
 
Back
Top Bottom