Alhaji Bulembo mbunge wa kuteuliwa Ikulu, aliyekuteua ndiye kakutuma?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,791
71,197
Bulembo wewe ni mbarikiwa kuweza kupata nafasi adimu sana kati ya zile 10 kuteuliwa kuwa mbunge wa Rais.

Inaaminika kwa nafasi hiyo mengi ya usemayo unawakilisha mawazo ya aliyekuteua maana hujachaguliwa. Je, wewe kutangaza Zitto auwawe huoni ni kama unatangazia dunia kuwa aliyekuteua (Rais) ndio alichotaka useme?

Je, tuamini kuwa Rais kachukia sana na ana mawazo hayo ya kumuondoa Zitto?

Ona ulivyochafua nchi na kuifanya ionekane kituko duniani! Nchi inayotaka kuua wabunge wake kwa maagizo ya bungeni.

Simama hadharani utamke haraka kuwa ulipotoka na kuomba radhi huku ukihakikishia umma kuwa aliyekuteua Rais John Magufuli hajakutuma huo ujinga.

Na jitafakari sana. Je, unaitendea haki nafasi hiyo au haikutoshi uiachie?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yatupasa kushukuru Kwa MUNGU kwajinsi hawa wajinga wanapojivua nguo wao wenyewe maana DUNIA imeona njama zao mauaji..
Kama kulipangwa mauaji hayawezi kufanyika tena kwasabb Siri imeshatoka kablaa!!
 
Ujue kwenye hili jambo nawaza sana hivi km nchi tunasifa ya kupata huo mkopo na proposal iko vzr ZZK ni nani huko WB hadi akisema tunyimwe?? Na why watu wachukie badala ya kuhangaika na mapungufu yaliyopo ili kupata huo mkopo km una tija kwa nchi kuliko kutishana?? Je ZZK akiuwawa ndo tunapata huo mkopo??

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama watakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndilo jizi namba moja katika mali za CCM lilikuwa jumuiya ya Wazazi limeuza Mashule nakujilimbikizia mali katika watu Polepole anayaita majizi mapapa huyu yumo
 
Back
Top Bottom