permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 10,025
- 11,216
Tuambie hawa waarabu wa Afrika Kaskazini namna walivyopata hayo maeneo wanayokalia kwa sasa.Kilichoharamishwa na kisichotakiwa na uislamu ni kujipatia mali na ardhi kwa njia ya hadaa ,maguvu au dhulma. Vinginevyo Uislamu haujawagawa watu kimajimbo wala nchi. Na ukishapata kihalali kitu kuna mipaka ya matumizi sio utumie kufanyia ufisadi,unaweza ukanyang'anywa kihalali na kupewa mwengine atakayetumia kwa maslahi yaliyo mapana,
Ukiangalia mayahudi ilivyo kule Palestina ni haramu tupu na hawapaswi kuungwa mkono hata chembe .Waarabu wanaofanya hivyo ni hasara kwao.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app